Walifeli hesabu kwakweliWabongo wanachekesha, baada ya kuona wateja wanajaa wakapandisha na wao!
Nimeona Leo GBP sinza 2490. Sehemu nyingine zote nilizo bahatika kupita ni 2540Nimenunua petrol 2730 leo. Nilipo ni 10km onluy kutoka Kenya. Kwanini nisivuke nijaze tank then nirudi?
GBP anauza bei ndogo kuliko wenzie kila siku ya Mungu. Mafuta yake ni quality?Nimeona Leo GBP sinza 2490. Sehemu nyingine zote nilizo bahatika kupita ni 2540
Kwa hiyo mkuu hapo ni wewe tu kunyoosha goti...naona wamefuta kibao cha 50..[emoji85][emoji85][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2141799
Hiyo inaitwa try if you dare. Ukiwaza bei ya spare utajikuta unatembelea 40 bila shinikizo loloteKwa hiyo mkuu hapo ni wewe tu kunyoosha goti...naona wamefuta kibao cha 50..[emoji85][emoji85][emoji1787][emoji1787]
Duhacha nikajazilizie, hapa ili maumivu yawe kidogoView attachment 2143105
nimechukua namba ya trafic mmoja mkali kinoma.. 😁😁Duh
Jini madhara hii[emoji1787]
Tutayajenganimechukua namba ya trafic mmoja mkali kinoma.. [emoji16][emoji16]
nomaaa sana kakamilika ila maafande watakuwa wanaruka nae eeh 🙄🙄😳😳Tutayajenga
Chura anayo[emoji848]
Hii ni S au X type?acha nikajazilizie, hapa ili maumivu yawe kidogoView attachment 2143105
X 2.5LHii ni S au X type?
Unyama sanaacha nikajazilizie, hapa ili maumivu yawe kidogoView attachment 2143105
Hio bei ya Total ni kisanga😅 mafuta yana bei kuliko kilo ya sukariHivi kwanini bei zinatofautiana?
Total huku wao ni 2620 petrol