Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahahahahahah ulimpa kipindi😅
 
Heri ningemalizia hizi km200 jana nikafika Musoma. Kiherehere changu kusafiri asubuhi nimeliwa fine mbili back to back zimepishana nusu saa.

Shikamooni wakurya, mmenikaribisha vilivyo kanda maalum

View attachment 2135114
Kwa mchana mkeka ilikuwa lazima upewe yani mi ndio maana hao ma swine siwapendagi yani😅 ndio maana natakaga nitembee usiku
 
..ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]

Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
Hamna sio kwa sasa mkuu! Ilikuwa awamu ya mzee ndio hela za watu walikuwa wanazitolea macho! Ila kwa sasa hali ni tulivu
 
Ni hatari sana mzee gari zote hizo utakimbiaje kwa 250-300
 
Huko siwezi jogg ntaumia roho tu aisee😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…