Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
[emoji1787]Bora vurugu za mabus au top speed za private?
Songwe: Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali, watu wanne wafariki dunia
Bus la kampuni ya Kilimanjaro limepinduka asububuhi hii mkoani Songwe likitokea Tunduma kuelekea Jijini Dar es salaam ambapo taarifa za awali zinaeleza ajali hiyo imesababisha watu kadhaa kufariki na uwepo wa majeruhi, taarifa kamili zitakujia hivi punde. =================== Basi la Kampuni ya...www.jamiiforums.com
Ana utani na mabasi.[emoji1787]
Hutaki masihara
Umemletea na ushahidi
Kabisa
Hizo recommendations nyingi ni kwa ajili ga mtu yoyte mwenye uwezo wa kununua chombo kikiwa 0km.....ndiyo maana baadhi ya nchi gari likifisha umri fulani, hawaruhusu tena litembee barabarani.....ikifikia hapa, tunasukumiea sisi waswahili ...tunanunua huko beforward na kwingineko....hapo tunaenda kupambana na hali zetu....Sure.. Kwa scenario hiyo ya kuwasha na kuondoka hapo hapo multigrade ni bora..
Halafu kwenye mapendekezo hapo.. Unadhani manufacturers huwa wanatuconsider waswahili..!!? Nahisi zile ni recommendations za engine kwenye mazingira yao..!!
Wenye injini zao ulizozitaja hapo wanakuangalia..😆😆...hapo kwenye RZ,A,S...Hahahahahah mkuu kwa engine ambazo sio vvt-i kama family ya RZ, A, S,JZ hizo kitumia 5w 30 oil inaweza ika leak 😅 inakuwa kama maji kabisa na unaweza shangaa gari inakula oil! 20w 50 ndio engine oil nzuri kwao.
Ila kwa gari mpya hizi za VVT-i inakuwa freshi sana ukiweka namba 30 au 40 inakuwa poa zaidi.
Ipo haja mkuu ya kuweka hiyo elimu humu ndani....ili kila mtu aamue lake akiwa anaelewa anachokifanya....😅😅..Extrovert Boeing 747 nimependa mnachojadili kuhusu oil, inabidi mlete uzi kwaajili ya haya mambo ya oil maana watu wengi wapo chaka kwenye haya maswala ya oil mtasaidia wengi sana
Wanaiba namna hii,..unaweza kumpa hela ukamwambia anunue mfano Castrol 5w30, ukiondoka yeye anaweka SAE 40 ambayo amenunua bei chee...anatafuta dumu tupu la oil uliyopendekeza anakuwekea kwenye buti.....Aiseee, wanaiba? Mi nimenunua gari na kumwaga oil, nilimpa fundi hela nikakaa mbali, faster wakamaliza
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji848]We are manufacturing vumbi in here...[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 2152069
DuhNapenda sana road trip, dream yangu kwenda ulaya kwa stail hii
Lakini mabara yanatenganishwa na maji!!! Upo bara gani?Napenda sana road trip, dream yangu kwenda ulaya kwa stail hii
Kumbe ndio maana dumu langu la total 5w30 waliligombania ili waje kumpiga mtu.Wanaiba namna hii,..unaweza kumpa hela ukamwambia anunue mfano Castrol 5w30, ukiondoka yeye anaweka SAE 40 ambayo amenunua bei chee...anatafuta dumu tupu la oil uliyopendekeza anakuwekea kwenye buti.....
Anabakiwa na hela nyingi tu....wahuni wale
Ukiona dumu la oil amabyo ni multi grade linagombaniwa, basi kuna mtu anaenda kupewa maumivu...Kumbe ndio maana dumu langu la total 5w30 waliligombania ili waje kumpiga mtu.
Manual au Automatic..!!?Early morning session
"Hello everyone, this is your captain speaking, welcome aboard...."View attachment 2154975View attachment 2154976
Kigarigari tunasema Both mkuuManual au Automatic..!!?
Both team to scoreKigarigari tunasema Both mkuu