Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Bora vurugu za mabus au top speed za private?

[emoji1787]

Hutaki masihara

Umemletea na ushahidi

Kabisa
 
Sure.. Kwa scenario hiyo ya kuwasha na kuondoka hapo hapo multigrade ni bora..

Halafu kwenye mapendekezo hapo.. Unadhani manufacturers huwa wanatuconsider waswahili..!!? Nahisi zile ni recommendations za engine kwenye mazingira yao..!!
Hizo recommendations nyingi ni kwa ajili ga mtu yoyte mwenye uwezo wa kununua chombo kikiwa 0km.....ndiyo maana baadhi ya nchi gari likifisha umri fulani, hawaruhusu tena litembee barabarani.....ikifikia hapa, tunasukumiea sisi waswahili ...tunanunua huko beforward na kwingineko....hapo tunaenda kupambana na hali zetu....
 
Hahahahahah mkuu kwa engine ambazo sio vvt-i kama family ya RZ, A, S,JZ hizo kitumia 5w 30 oil inaweza ika leak 😅 inakuwa kama maji kabisa na unaweza shangaa gari inakula oil! 20w 50 ndio engine oil nzuri kwao.

Ila kwa gari mpya hizi za VVT-i inakuwa freshi sana ukiweka namba 30 au 40 inakuwa poa zaidi.
Wenye injini zao ulizozitaja hapo wanakuangalia..😆😆...hapo kwenye RZ,A,S...
 
Extrovert Boeing 747 nimependa mnachojadili kuhusu oil, inabidi mlete uzi kwaajili ya haya mambo ya oil maana watu wengi wapo chaka kwenye haya maswala ya oil mtasaidia wengi sana
Ipo haja mkuu ya kuweka hiyo elimu humu ndani....ili kila mtu aamue lake akiwa anaelewa anachokifanya....😅😅..
Ila chonde chonde, usimwachie fundi akufanyie service ya oil, na wewe uwe umekaa nyumbani au ofisini....msimamie mwanzo mwisho....kuna mambo magumu sana tumeshuhudia mafundi wakifanya uhuni..
 
Aiseee, wanaiba? Mi nimenunua gari na kumwaga oil, nilimpa fundi hela nikakaa mbali, faster wakamaliza
Wanaiba namna hii,..unaweza kumpa hela ukamwambia anunue mfano Castrol 5w30, ukiondoka yeye anaweka SAE 40 ambayo amenunua bei chee...anatafuta dumu tupu la oil uliyopendekeza anakuwekea kwenye buti.....
Anabakiwa na hela nyingi tu....wahuni wale
 
Screenshot_20220314_222120_com.whatsapp_edit_116062457627081.jpg
 
Wanaiba namna hii,..unaweza kumpa hela ukamwambia anunue mfano Castrol 5w30, ukiondoka yeye anaweka SAE 40 ambayo amenunua bei chee...anatafuta dumu tupu la oil uliyopendekeza anakuwekea kwenye buti.....
Anabakiwa na hela nyingi tu....wahuni wale
Kumbe ndio maana dumu langu la total 5w30 waliligombania ili waje kumpiga mtu.
 
Back
Top Bottom