Yaani jamaa kwenye road trip kaona ukimwi! Afadhali angesema tuwe makini na speeding.
Hata kuwaza sijawahi
I think by March or April tutakuwa tumeanza namba E!2021 haiishi E zinaingia mtaani.
Safi sana. Safiri salama. Naheshimu mtu mwenye European car namba A,B,C nafikiri unanielewa.saa tisa usiku huu naamsha toka chato to mwanza..then naunga Dsm(bunju)..tar 20 naliamsha hadi home kwangu Usa~River Arusha..huko njian ntakuwa naangalia plate number..ikinipita DVA najua mkuu RRONDO huyo....mie nina CBY (BMW).. kwa matukio ya miaka minne nyuma huko binafsi sitakuwa na ligi..mnipite tu.
Mimi naamsha tarehe 24! Vitz Rs nasikia ina mwendo!
Mkuu unafanyia wapi service namie nataka niitie mkono OPA GT 😁😁😁Ndo namalizia service ya VITZ RS hapa manual transmission DAR-MOSHI-URU KISHUMUNDU...tarehe 23
Mtoa lift atakapokua anaondoka[emoji3]Waenda lini?