Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Yaani jamaa kwenye road trip kaona ukimwi! Afadhali angesema tuwe makini na speeding.
Ila kaona mbali banaaa. Hizi safari ndefu kuna watu wakisimama kuchimba dawa na wakiona hakuna gari inayokuja karibu wanapiga kamoja ka chap chap kuongeza umakini barabarani ....😅😅
Sijawahi kushuhudia tukio kama hilo. 🤪