Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yaani jamaa kwenye road trip kaona ukimwi! Afadhali angesema tuwe makini na speeding.

Ila kaona mbali banaaa. Hizi safari ndefu kuna watu wakisimama kuchimba dawa na wakiona hakuna gari inayokuja karibu wanapiga kamoja ka chap chap kuongeza umakini barabarani ....😅😅

Sijawahi kushuhudia tukio kama hilo. 🤪
 
saa tisa usiku huu naamsha toka chato to mwanza..then naunga Dsm(bunju)..tar 20 naliamsha hadi home kwangu Usa~River Arusha..huko njian ntakuwa naangalia plate number..ikinipita DVA najua mkuu RRONDO huyo....mie nina CBY (BMW).. kwa matukio ya miaka minne nyuma huko binafsi sitakuwa na ligi..mnipite tu.
 
Safi sana. Safiri salama. Naheshimu mtu mwenye European car namba A,B,C nafikiri unanielewa.
Enjoy the road trip brother.
 
Safari njema naelekea pande za Kusini Uyole mbeya na kitu cha Vanguard DMA
Vanguard gari nzuri kwa safari. Drive safe and enjoy the road trip. Turushie picha za kijani cha nyanda za juu kusini.
 
Back
Top Bottom