Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Yaani sijui Huwa wanajiona vipi; nadhani akikupita vichwa linavimba balaa; kumbe unamchora tuJamaa watukutu sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani sijui Huwa wanajiona vipi; nadhani akikupita vichwa linavimba balaa; kumbe unamchora tuJamaa watukutu sana...
Hizo gari kwenye kona hazifai kabisaWanakimbiza afu sasa zina ngao basi ndio tafrani.
Bora usilale Ila usiwe unachugulia kwenye mshale pale. Unajua inaboa unakuwa na watu kila saa wanakupigia keleleKuna watu wakiwa wamelala huwa wanahisi gari ikiwa inakimbia sana.
Mi mmoja wapo.
Mkonga kwenye konaHizo gari kwenye kona hazifai kabisa
🌚🌚Qumermae LC LX hii,ni vd series au?
Gari ya kiwaki sana nayo hiyo,ua ua sana hiyo[emoji276][emoji276]
Sijui
Ila ni LC LX… sio hardtop.. sasa sijui ndiyo itakuwa Vd!!
Gari inaua? Au ninyi madereva?Gari ya kiwaki sana nayo hiyo,ua ua sana hiyo
😅😅 kama umepakia abiria muoga hiyo safi , na unaweza fika 150 MPH kama gari ipo stable anatulia tu.Gari zinazosoma MPH raha sana, mtu anachungulia mshale anaona 120 anatulia kumbe unakaribia 200kph
Dereva akikuua si anashtakiwa kwa mauaji mkuu?Gari inaua? Au ninyi madereva?
Iliwauwaje? Kama wao hawakuwa chanzo?Dereva akikuua si anashtakiwa kwa mauaji mkuu?
Wale askari wawili na mahabusu wao kule Geita si imewaua kama hiyo
Daaah! We acha tu mkuu.Ni kipigo tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Vx, Landcruiser za 1hz ni makubwa jinga tu kiukwel, angalau 1hdt.Au ndio zile Wigelekelo anaita VX bwege? Mtaani niliwasikia vijana wakiita 'kubwa jinga' nikamkumbuka ndugu yangu Wige!
Hakika, they built for roughly na mud roads.Ha ha ha mnazipa kazi isio yake. Not built for speed.
Ama kweliGari zinazosoma MPH raha sana, mtu anachungulia mshale anaona 120 anatulia kumbe unakaribia 200kph
Gari zote zinazosoma MPH huwa ziko stable sana na speed yake ndogo Huwa 220[emoji28][emoji28] kama umepakia abiria muoga hiyo safi , na unaweza fika 150 MPH kama gari ipo stable anatulia tu.
Kuna ki RAV 4 kinasoma MPH kilitoka India cha kipuuzi kweli kweli.. MPH za EUROPE sawaGari zote zinazosoma MPH huwa ziko stable sana na speed yake ndogo Huwa 220