Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hapo ni kujaza full, kila baada ya siku 3 unaongezea tena mpaka full.

Ukisubiri mpaka ngoma iwe empty kabisa, utakata tamaa.
Sasa kama unaendesha siku tatu unaweka tena unatofauti gani na huyu anaeweka lita 20 or less? Utaratibu wangu ni full to empty ambayo inanifikisha wiki moja. Hata nikisafiri trip zisizozidi 600km naweka full mpaka destination yangu ndio naweka full tena.
 
Pesa ni ile ile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo watu wanacheza na saikolojia zao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…