Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mkuu overall Toyota it's the best bakkie, nashauri chukua toyota hilux sc 2.4 L,model yeyoye from 2017 upwards
 
Bei ya hilux mwaka 2017 bei mbaya Mkuu, labda 2007 ____ 2010 ndo naweza nunua, but thank so much.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ni kweli ila unusual wa magari SA unategemea factors nyingi, uzuri uwe na muda na bila haraka, repossessed cars ni cheaper hasa kwenye Minada ya kibenki, hizo models unazoulizia unaweza kupata under 60k zar,good luck
 
Navara imeua nini mkuu hadi ikae juu ya mawe? Na pia unauza pesa ngap?
 
mkuu upo kwenye gang ya IT?
 
mkuu upo kwenye gang ya IT?
No sipo huko ila ninapokua kwenye road trips hasa za kufukuza T1,always nazisuburia ITs pale mzamvu morogoro, ikifika saa 1usiku mchezo unaanza, wale jamaa wanaijua sana barabara hii, troop leader ndio wa kumwangalia, unapoipeleka gari na wewe unayefuata unakwenda pale pale, nimewasili tunduma at 05:48am!
 
hahahahahaha jamaa wanatembea mwendo wa Ambulance
 
toka saa1 jioni uingie tunduma saa 11 alfajiri its not a joke, ulitembea kweri kweri
 
Tabia mbaya kuliko zote ni kumfuata wa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…