Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa hyo safari inatakiwa uwe mashine ya nguvu km ford ranger hv
 
Kwa hyo safari inatakiwa uwe mashine ya nguvu km ford ranger hv
Not necessarily mkuu, few years ago,bibi wa 80yrs akiwa na Toyota Tazz yenye miaka 20,aliiendesha hii gari from mother city to London!,gari yeyote yenye good condition inafaa, n elewa wengi wametembea umbali huu,wengine wametumia baiskeli!,jaribu mkuu
Kwa hyo safari inatakiwa uwe mashine ya nguvu km ford ranger hv
 
Unavyosema mother city unadhani kila mtu anapajua.
 
Duuh kwanini umeamua kuikwepa Zimbabwe, huko Botswana si utazunguka sana? Anyway utapitia Border gani, Pioneers Gate au Tlokweng?
 
Shukraani mno kwa likes zako,border nitakayopitia ni Martin Drift, nitavuka pale na kulala kwenye road block kabla ya kuingia mbugani after Nata (Pana kituo cha kuzuia ugonjwa wa mifugo),early morning nikiondoka pale let's by 3am,definitely by 9am nitakua kazungula border na kuingia Zambia hii ni one stop border post, Zimbabwe 🇿🇼 rushwa ni kubwa mno na wasumbufu hata ukiwa transit, na elewa Botswana 🇧🇼 ukiwa na kila kitu above board, hutumii cent moja na huhitaji agent kuvuka mpaka,just you pay for TIP only, na pia ni safe country to drive omba tu usigonge wanyama wao.
Duuh kwanini umeamua kuikwepa Zimbabwe, huko Botswana si utazunguka sana? Anyway utapitia Border gani, Pioneers Gate au Tlokweng?
 
Kutoka Ipogoro kwenda Dodoma kupitia Mtera ni almost 270km.
Barabara hii kiufupi "TULIPIGWA"
umenikumbusha zile sharp corners za nyang'olo hill. nimekuwa nikipita hii barabara mara kwa mara ktk roadtrip zangu za iringa-dodoma/dodoma - iringa.

nashauri serikali iboreshe hii barabara ili pamoja na mtumizi mengine, iwe kivutio kwa baadhi ya wasafiri hususani sisi tunaovutiwa na hizi kona.
 

Oohh sawa kuna border nilisikia hutakiwi kuvuka usiku sana sababu ya wanyama wengi mojawapo ni hiyo

Nilishangaa kuna border kule mwisho kuvuka ni saa kumi jioni wakati hizo nilizozitaja ni hadi saa sita usiku

Kweli Zimbabwe hasa Beitbridge usumbufu ni mwingi sometimes wanataka rushwa hata kama umejikamilisha
 
Ni kweli kabisa mkuu, mpaka wa SA na Zimbabwe pale beitbrige ni vurugu mno tena za kishenzi, Botswana kumetulia ila inatakiwa paper work yako iwe above board, yes wanyama ni tatizo kubwa na ukiamua to drive at night jitahidi uwe sober na taa zako ziwe Safi na mwendo uwe wa makini
 

Hapa ulipita kiangazi. Ukipita kipindi cha mvua kuna Kuwa kwa Kinaoni hadi rahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…