Shukraani mno kwa likes zako,border nitakayopitia ni Martin Drift, nitavuka pale na kulala kwenye road block kabla ya kuingia mbugani after Nata (Pana kituo cha kuzuia ugonjwa wa mifugo),early morning nikiondoka pale let's by 3am,definitely by 9am nitakua kazungula border na kuingia Zambia hii ni one stop border post, Zimbabwe [emoji1269] rushwa ni kubwa mno na wasumbufu hata ukiwa transit, na elewa Botswana [emoji1052] ukiwa na kila kitu above board, hutumii cent moja na huhitaji agent kuvuka mpaka,just you pay for TIP only, na pia ni safe country to drive omba tu usigonge wanyama wao.