Ubora upo kampuni ni zile zile, kitu kinachobadilika labda ni standards na option features kulingana na soko la huko South Africa.
Mzee wa Vw Polo, Kuna Vw Golf naiona hapa nchini Kati ilitoka South na ina muda mrefu inatamba na ina plate number za Gauteng province.
Mzee wa Vw Polo, Kuna raia wabishi naona wanakuja na Discovery, Land Cruiser LX na Vw Golf kutoka South kisha wanazitumia na plate number za Gauteng, Mpumalhanga nadhani wamekubali kulipia kila mwaka.Nimecheka sana uliponiita mzee wa VW Polo...sawa boss ngoja tupambane zaidi tuchukue siku za usoni maana namuona hata Shetta anatamba na Discover yake aloyochukua huko SA.
Mzee wa Vw Polo, Kuna raia wabishi naona wanakuja na Discovery, Land Cruiser LX na Vw Golf kutoka South kisha wanazitumia na plate number za Gauteng, Mpumalhanga nadhani wamekubali kulipia kila mwaka.
Gari zao ni bora mimi huwa nanunua ni service ndogo tuu na inafika Tanzania vizuri tuu na ipo moja ford bantam kipo home ni kigumu kile kigari nadhani walikosea nilinunua nikaona mbona ka pick up harafu bei ndogo nilikafanya escort kwa gari zingine kana speed mpaka 220 na balance ipo nimeweka rim nzuri kapo kispoti sana nilinunua 2012 mpaka kesho kapo na kila siku wanakatumia nimeona vipo chev pick up pia nazo jiwe tuu...tofauti ya Japan na SA ni kwamba gari ikiwa ya miaka ya nyuma hata iwe range Rover itashuka bei tuu...JHB magari ni mengi kuliko wanunuzi tena yale mazuri kabisaa ambayo likipita sehemu bandama lazima listuke...Ni vile SA watu hawana taarifa nako na usalama pia ukiingia hovyo sikoMkuu nimechungulia kweli ndinga bei rahisi sana ila sijajua ubora maana SA nayo ni Afrika tu iliyochangamka
Braza na makadirio ya kodi hapo boda ya tunduma yapoje mfano kwa hzio LC 70 series au 100 series?Gari zao ni bora mimi huwa nanunua ni service ndogo tuu na inafika Tanzania vizuri tuu na ipo moja ford bantam kipo home ni kigumu kile kigari nadhani walikosea nilinunua nikaona mbona ka pick up harafu bei ndogo nilikafanya escort kwa gari zingine kana speed mpaka 220 na balance ipo nimeweka rim nzuri kapo kispoti sana nilinunua 2012 mpaka kesho kapo na kila siku wanakatumia nimeona vipo chev pick up pia nazo jiwe tuu...tofauti ya Japan na SA ni kwamba gari ikiwa ya miaka ya nyuma hata iwe range Rover itashuka bei tuu...JHB magari ni mengi kuliko wanunuzi tena yale mazuri kabisaa ambayo likipita sehemu bandama lazima listuke...Ni vile SA watu hawana taarifa nako na usalama pia ukiingia hovyo siko
Ikiwa SA made inapungua chini ya 20m maana ni SADC ila ikiwa haijatengenezwa SA Kodi ni zaidi ya 25m mpaka 33m inategemeana na mwaka pia ili ulipe Kodi kwa rate ya SADC unatoka na karatasi yao kabisa SA ukiiambatanisha tuu kwenye makaratasi yako unapotaka kukadiliwa inapungua na Cruiser zao naona zina code namba ambayo ni rahisi wao kutambua ikiingizwa kwenye system za kukadiliwa na ukiwa na makabrasha yako...Braza na makadirio ya kodi hapo boda ya tunduma yapoje mfano kwa hzio LC 70 series au 100 series?
Mzee wa Vw Polo, Kuna raia wabishi naona wanakuja na Discovery, Land Cruiser LX na Vw Golf kutoka South kisha wanazitumia na plate number za Gauteng, Mpumalhanga nadhani wamekubali kulipia kila mwaka.
Hizo unazoona wanatembea na namba za SA hawajalipia ushuru. Wanakata kibali cha miezi mitatu. Ikiisha inabidi gari itoke border ila hapa mjini mambo mengi siwezi kuweka hapa jamvini miezi mitatu ikiisha wanafanyaje bila gari kutoka waendelee kutumia.Hii imekaaje ,,kwani kubadili ni gharama au kulipia hizo plate sio gharama?
Hivi inawezekana kila mwaka uilipie?Mzee wa Vw Polo, Kuna raia wabishi naona wanakuja na Discovery, Land Cruiser LX na Vw Golf kutoka South kisha wanazitumia na plate number za Gauteng, Mpumalhanga nadhani wamekubali kulipia kila mwaka.
Hizo ni gari ambayo inaingia na kutoka, unapata kibali cha miezi mitatu(few bucks) ikiisha inabidi gari itoke border then ukiingia tena unalipia miezi mitatu.Hivi inawezekana kila mwaka uilipie?
Sijawahi kuwaza kama ntakuja kwenda S.A.Gari zao ni bora mimi huwa nanunua ni service ndogo tuu na inafika Tanzania vizuri tuu na ipo moja ford bantam kipo home ni kigumu kile kigari nadhani walikosea nilinunua nikaona mbona ka pick up harafu bei ndogo nilikafanya escort kwa gari zingine kana speed mpaka 220 na balance ipo nimeweka rim nzuri kapo kispoti sana nilinunua 2012 mpaka kesho kapo na kila siku wanakatumia nimeona vipo chev pick up pia nazo jiwe tuu...tofauti ya Japan na SA ni kwamba gari ikiwa ya miaka ya nyuma hata iwe range Rover itashuka bei tuu...JHB magari ni mengi kuliko wanunuzi tena yale mazuri kabisaa ambayo likipita sehemu bandama lazima listuke...Ni vile SA watu hawana taarifa nako na usalama pia ukiingia hovyo siko
Hizo unazoona wanatembea na namba za SA hawajalipia ushuru. Wanakata kibali cha miezi mitatu. Ikiisha inabidi gari itoke border ila hapa mjini mambo mengi siwezi kuweka hapa jamvini miezi mitatu ikiisha wanafanyaje bila gari kutoka waendelee kutumia.
Inabidi nikapatembelee S.A.Hizo ni gari ambayo inaingia na kutoka, unapata kibali cha miezi mitatu(few bucks) ikiisha inabidi gari itoke border then ukiingia tena unalipia miezi mitatu.
Wengi hufanya hivi wakisubiri kupata mteja wachache huwa wanarudi nazo zilipotoka.
[emoji1376][emoji1376][emoji1376]FactKungekuwa hamna high crime rate....it would have been heaven of Africa!
Kabisa.Kungekuwa hamna high crime rate....it would have been heaven of Africa!
ukienda kutembea Cape Town ukapita huko long street na viunga vyake camps bay,sea point hayo mambo ya crime utauliza ni sehemu gani yapo au hapo waterfront na hapo Cassino good wood...crime zipo location wanakoishi wazawa na coloured huko town kupo quite sana tofauti na JHB mjini pana vurugu na location vurugu za kutosha..cape mjini camera zake zinafanya kazi ila jhb wameshaziharibu weziSijawahi kuwaza kama ntakuja kwenda S.A.
Ila panaonekana kuna mambo mazuri ya kwenda kutazama.
Mkuu SA crime rate iko juu no matter how you wanna paint it! Inabidi uwe mwenyeji ili ujue mitaa salama, btw nina rafiki zqngu washawahi kuwa robbed kwa bunduki Sandton can you imagine.ukienda kutembea Cape Town ukapita huko long street na viunga vyake camps bay,sea point hayo mambo ya crime utauliza ni sehemu gani yapo au hapo waterfront na hapo Cassino good wood...crime zipo location wanakoishi wazawa na coloured huko town kupo quite sana tofauti na JHB mjini pana vurugu na location vurugu za kutosha..cape mjini camera zake zinafanya kazi ila jhb wameshaziharibu wezi