Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah gari toka kiwandani inakupa 707HP with 650Nm of torque😂😂😂 zilizotoka mwaka 2022 zimeboreshwa mpaka kuwa na 808HP. Ila bongo sijaona mtu mwenye trackhawk kabisa hata watoto wa kishua akina bhakresa.6.2L halafu supercharged?!! Kazi ipo.
Simply insane!Yeah gari toka kiwandani inakupa 707HP with 650Nm of torque😂😂😂 zilizotoka mwaka 2022 zimeboreshwa mpaka kuwa na 808HP. Ila bongo sijaona mtu mwenye trackhawk kabisa hata watoto wa kishua akina bhakresa.
Top speed 290miles per hour, do the maths. 😂😂😂 Dar-Mwanza kabla hakujakucha uko Chato.
Hahahahah hio ukimbie nayo mchana tu😂😂😂 ambako tochi ni mwanzo mpaka mwisho wa safari.Utaishia nyuma ya lori la mbao!
Nadhani mtu anaenunua Lexus haangalii ishu za speed.Ukitaka ujue Toyota Hana nguvu ni pale mtu anapolinganisha LX570 na cheap sedan za Kijerumani. Maanake ni kwamba ukienda pound for pound Toyota hatoboi.
Na naona wengi wameadopt mfumo huo. Hapakuwa na ligi kabisa, watu walikuwa wanaongozana tu.Safi sana, kuendesha Kwa akili ndio kilichobaki.
Gari za mzungu unamwaga tu moto balance imo ya kitosha... mngenikomaa... next week nitaanza trip sasa 😀😀😀 japo na chombo ya kinyonge ila naanza hivyo hivyo...Hapo jamaangu Nations mzee wa pedal to the metal anaweza kutaka kugandamiza mguu hadi mwisho. Kwa njia zetu hio speed ni deathrow mzee 😂😂😂
Weight ina mahala pake na sio kila sehemuHaijasaidia kitu!
😂Umebeba premio ama?Gari za mzungu unamwaga tu moto balance imo ya kitosha... mngenikomaa... next week nitaanza trip sasa 😀😀😀 japo na chombo ya kinyonge ila naanza hivyo hivyo...
premio mie 😳😳.. niipeleke wapiUmebeba premio ama?😂😂😂
Hahahah gari ya kinyonge ni below 2OOHp vinginevyo sio kinyongepremio mie 😳😳.. niipeleke wapi
Nafukuza mwizi kimya kimya tu 😀😀😀Hahahah gari ya kinyonge ni below 2OOHp vinginevyo sio kinyonge
Tuishi na 4GR mzee,Nafukuza mwizi kimya kimya tu 😀😀😀
Aah! huenda nisije miliki toyota maisha mwangu au gari yoyote ya mjapan.. nimekata shauri na japan.. 😀😀Tuishi na 4GR mzee,
Sawa sawa mzee tunakutakia maisha mema huko ulikoelekea😂😂😂Aah! huenda nisije miliki toyota maisha mwangu au gari yoyote ya mjapan.. nimekata shauri na japan.. 😀😀
Mkaribie huku Ulaya 😀😀🥹Sawa sawa mzee tunakutakia maisha mema huko ulikoelekea😂😂😂