Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aah! huenda nisije miliki toyota maisha mwangu au gari yoyote ya mjapan.. nimekata shauri na japan.. [emoji3][emoji3]
Ila watu kama nyie mnasemaga maneno haya halaf tukiwakuta lokesheni mnajitetea "leo nimetoka na chombo ya wife nipo mnyonge sana road sijazoea mjepu" hali ya kuwa toyota ndo chuma chako cha kutembelea siku zote
 
Wakuu dua zenu...Dodoma moja
IMG_20220729_144856_3.jpg
 
Back
Top Bottom