Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Inatofauti gani na zile za 200k?
Mkuu utofauti upo mkubwa sana, functions ni zile zile ila ukubwa wa screen, fitting n.k nimejaribu kucheki ali express bei yake ni hii, na ndio niliyofungiwa
Screenshot_20220803-214821_AliExpress.jpg
 
Kuna case ya ziada huwa inauzwa around 50k to 70k kutegemea na dashboard.

Na inafit vizuri, nimefanya kwa Impreza na imekaa poa tu. Yani imefit vizuri, ilibidi kuondoa frame ya zamani
View attachment 2313337
Mkuu hio ni Crown. Hizo za 200/300k ndio hizo unaanza kuungaunga ILA hio ya 1m inafit perfectly. Zipo Hadi za lc200.
 
Back
Top Bottom