Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Watu mpo na hobby.

Unatumia 1M kuweka radio kwenye gari?
Mkuu kwani nyumbani kwako umeweka mziki wa aina na bei gani?kwa mfano mimi situmii muda home, muda mwingi ni kwenye utafutaji na muda wote nipo kwenye visafari japo vingi ni vya hapa hapa town...so kwakuwa starehe yangu ni mziki hamna namna nafanya kitu roho yangu inapenda
 
Nimeacha zamani kubadili redio ya gari, ya sasa hivi imeharibika nahitaji android ila 1m kwa redio sio kidogo. Ina maana unasafiri bila redio/music ?
Yangu ilikuwa imezingua pia. Ila kuitoa kuweka android haiwezekani, it seems iko deeply integrated na functions nyingine za gari.

Imefunguliwa watu wakachokonoa ICs zile sahizi inapiga kazi freshi na ina mziki mtamu kuliko hizi za kufunga.

Toyota mnafunga Android radio straight tu zile pin zinaingia ila Nissan ni kimbembe, hazimatch
 
Yangu ilikuwa imezingua pia. Ila kuitoa kuweka android haiwezekani, it seems iko deeply integrated na functions nyingine za gari.

Imefunguliwa watu wakachokonoa ICs zile sahizi inapiga kazi freshi na ina mziki mtamu kuliko hizi za kufunga.

Toyota mnafunga Android radio straight tu zile pin zinaingia ila Nissan ukichomoa Radio, Taa za ABS, SLIP, VDC OFF zinawaka na gauge ya mafuta haisomi na taa yake inawaka. Goodluck kuireplace na android [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliona yako on-board computer inadisplay kwenye screen ya TV/radio. Za Toyota zetu inadisplay kwenye cluster hivyo haiathiri kitu. Kubadili kwangu ni ngumu kidogo. Za bei rahisi zinaharibu Sura ya dashboard, zinazofit bei juu kwangu.
 
20220803_175858.jpg

Kutoa hiyo ngoma kunawasha taa za ABS, SLIP, VDC OFF mpaka taa ya mafuta na gauge haisomi, plus AC haifanyi kazi, Gia hazisomi kwenye dash e.t.c

Kuna kicomputer kiko mounted kwa juu kwenye bracket ya radio ambacho nimeambiwa huwa ni cha AC, ukikidisconnect unapata hizo vurugu. Funga android hapo if you dare.
 
Niliona yako on-board computer inadisplay kwenye screen ya TV/radio. Za Toyota zetu inadisplay kwenye cluster hivyo haiathiri kitu. Kubadili kwangu ni ngumu kidogo. Za bei rahisi zinaharibu Sura ya dashboard, zinazofit bei juu kwangu.
Screen hiyo hiyo ndio radio, AC, on-board computer na diagnosis. Na mafundi redio hawaelewi hiyo wanakuambia tutaforce itafanya kazi, we funga android. Nikawa nacheka kwa ndani. Ingekataa kutengenezeka ingebidi ninunue nyingine genuine nibadilishe.

Nilipoenda naona ameiva kweli kwenye umeme wa magari, wanatengeneza control box mbovu & any circuit.
 
Back
Top Bottom