Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiku hakunaga kero za wale wajinga wajinga wenye rangi ya yange yange. Unakwenda kwa mwendo unaotaka wewe yani hadi raha.Kuna Mzee wangu, mnaweza mkashinda naye mchana mzima mpompo tu Ila saa mbili usiku ndo anasema anaanza safari ya km500+.
Ameniambukiza na Mimi, napenda Sana safari ya usiku.
Hapo watu wanakatiza taa nyekundu bila kujali mwendo huo ni kutafuta kifo. Hizo gari kama hujitambui inakuua.Mbwembwe zinakuwa hamna, aisee ile Morroco- Mwenge wahuni wanapasuka vibaya mno yani jana kuna mwamba ana Royal saloon mwendo aliokuwa anaenda nao nahisi alifika 16O ni shida.😂😂😂
Ni kweli mkuu kuona mbali ni burudani ila shida wajomba wale. Inakera mno gari haina shida ila utembee na 5O! Bado wanakutia vyeti safari ya 3hrs uende 5hrsHakuna Raha kama kuona km5 mbele. Hio in awezekana mchana tu
Eeh bwana wee yani wamegeuza ni autobhan flaniHapo watu wanakatiza taa nyekundu bila kujali mwendo huo ni kutafuta kifo. Hizo gari kama hujitambui inakuua.
Leo njia ilikuwa wazi sana bila shaka. 3hrs ndio mwendo sahihi wa Dar-Moro ukiwahi sana unatumia 2hrs 4Omins. Hilo ni ukikubaliana na cheti lakini maana kutembea hizo speed mchana hawakuachi. Wao wanataka uende dsm-moro kwa masaa 5.Leo nimetoka dar saa sita nimekuja moro saa nane na nusu nipo moro napata msosi.
Ila uwe na hela ya wese ya kuzidi maana waleWewe upo team moja na mimi, T1 unaanza saa 1400,taratibu hadi 1800 upo Moro, (hupati hata one speed fine),ikifika 1900 usiku ni kuunga IT convoy, jitahidi uwe kati kati yao na always look the leader, anapopitisha gari na wewe unalenga pale pale(leader always ni mzoefu wa njia na ni pathfinder),lazima Tunduma 0500 tayari mpo kwenye Ile petrol ⛽, round about karibu na main gate ya border!!
Yes mkuu mimi ni team moja na wewe,Nina move zaidi usiku mchana hapana ,huu muda wa mchana ni kulala baada ya kuhakikisha chombo cha usafiri kipo safi, motor, taa za mbele,tailing lights, wiper, all fluids zipo kwenye level yake na kitu muhimu ni tyres, maana hii ndio contact pekee Kati ya gari na barabara.Mkuu wewe mwanachama mwenzangu wa night
trips bonge moja la experience. Lami imepoa engine inatembea on optimum perfomance.
Eeh tyres ndio mchawi, sema uwezekano wa kuzingua usiku ni mdogo sana sababu lami imecool. Alimradi ziwe nzima tuYes mkuu mimi ni team moja na wewe,Nina move zaidi usiku mchana hapana ,huu muda wa mchana ni kulala baada ya kuhakikisha chombo cha usafiri kipo safi, motor, taa za mbele,tailing lights, wiper, all fluids zipo kwenye level yake na kitu muhimu ni tyres, maana hii ndio contact pekee Kati ya gari na barabara.
KitwiruKutoka Rukwa to singida via Tunduma.
Location:Mita chache kufika ipogoro(iringa)
Maombi yenu wazee wenzangu wa Road trip.View attachment 2314068
Ni kweli mkuu hizi ITS ni moto mno ila convoy yao ni safi na unakua salama, pale Msamvu unafanya PR nao ili wasikuone ni intruder, mkifika pale petrol station ya ipogolo (kituo kikubwa)sio mbaya kuzungusha coffee ☕ kwa convoy nzima,hii PR inakusaidia mno maana wanakuona ni sehemu yaoIla uwe na hela ya wese ya kuzidi maana wale
mipasuko yao lazma ikuchomee wallet. Wanagusa 14O-18O humo.
Eeh ni kweli mkuu, jamaa hawarembagi wale 😂😂😂Ni kweli mkuu hizi ITS ni moto mno ila convoy yao ni safi na unakua salama, pale Msamvu unafanya PR nao ili wasikuone ni intruder, mkifika pale petrol station ya ipogolo (kituo kikubwa)sio mbaya kuzungusha coffee ☕ kwa convoy nzima,hii PR inakusaidia mno maana wanakuona ni sehemu yao
Exactly mkuu,tyres ni muhimu mno including right pressureEeh tyres ndio mchawi, sema uwezekano wa kuzingua usiku ni mdogo sana sababu lami imecool. Alimradi ziwe nzima tu
Mi nakumbuka kuna wakati nilitoka mbeya na tyre moja ya kuunga unga ila nilifika DSM salama kabisa. Yote ile kutembea usiku bila hivyo mchana ningeadhirika.Exactly mkuu,tyres ni muhimu mno including right pressure
Wale ni moto mkubwa ila usiwe nyuma sana,ukiwa nafasi ya 3 ni safi maana pointer usimpoteze kabisa,unapokwenda kulia na wewe unakwenda pale pale, tailing lights zake zitakuwa zinaongea, aki apply brakes utajua Pana tatizo na wewe unakua umeshajiandaa to breakEeh ni kweli mkuu, jamaa hawarembagi wale 😂😂😂
Jamaa wanakatizaga mikumi kama mshale 😂😂😂Wale ni moto mkubwa ila usiwe nyuma sana,ukiwa nafasi ya 3 ni safi maana pointer usimpoteze kabisa,unapokwenda kulia na wewe unakwenda pale pale, tailing lights zake zitakuwa zinaongea, aki apply brakes utajua Pana tatizo na wewe unakua umeshajiandaa to break
Yes tyres za kuunga ni very risk, halafu uzuri wa usiku pale kitonga pass hapasumbui sana maana trucks nyingi zinakua zimeshapaki ,ni tankers chache zinakua barabaraniMi nakumbuka kuna wakati nilitoka mbeya na tyre za kuunga unga ila nilifika DSM salama kabisa. Yote ile kutembea usiku bila hivyo mchana ningeadhirika.
Hio gari niliiona Tabata sheli mchana wake, ile mashine ni VX-R lazma ingewakalisha tu. Moto wake sio wa kitoto. Ilikuwa imekaa mkao wa kwenda ikiwa na prado nyingine 2.Wakuu juzi imetupita lc 300 nyeusi ni IT pale mikumi kila tukiitafuta wapi! Hatujapata tenaaa[emoji16]
Yeah mkuu ukishapita Ile round about ule mlima ni 120km/hr, na zile kona za iyovi ni moto ila kuendesha ni physics pia,elewa fast corners na slow one,elewa breaking points zipo wapi na always drive in a driving line!Jamaa wanakatizaga mikumi kama mshale 😂😂😂