Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

6.2L halafu supercharged?!! Kazi ipo.
Yeah gari toka kiwandani inakupa 707HP with 650Nm of torque😂😂😂 zilizotoka mwaka 2022 zimeboreshwa mpaka kuwa na 808HP. Ila bongo sijaona mtu mwenye trackhawk kabisa hata watoto wa kishua akina bhakresa.

Top speed 290miles per hour, do the maths. 😂😂😂 Dar-Mwanza kabla hakujakucha uko Chato.
 
Simply insane!
 
Hapo jamaangu Nations mzee wa pedal to the metal anaweza kutaka kugandamiza mguu hadi mwisho. Kwa njia zetu hio speed ni deathrow mzee 😂😂😂
Gari za mzungu unamwaga tu moto balance imo ya kitosha... mngenikomaa... next week nitaanza trip sasa 😀😀😀 japo na chombo ya kinyonge ila naanza hivyo hivyo...
 
Back
Top Bottom