Unatakiwa useme power to weight ratio.Weight ina mahala pake na sio kila sehemu
Huko tutakuja ila baada ya kuwekeana mikataba ya kudumu na hela.Mkaribie huku Ulaya 😀😀🥹
Ila watu kama nyie mnasemaga maneno haya halaf tukiwakuta lokesheni mnajitetea "leo nimetoka na chombo ya wife nipo mnyonge sana road sijazoea mjepu" hali ya kuwa toyota ndo chuma chako cha kutembelea siku zoteAah! huenda nisije miliki toyota maisha mwangu au gari yoyote ya mjapan.. nimekata shauri na japan.. [emoji3][emoji3]
Wakuu dua zenu...Dodoma moja
View attachment 2308011
Bon Voyage mkuu...Wakuu dua zenu...Dodoma moja
View attachment 2308011
Sema gari ndogo yenye hp200 mkuu maana haujawa specific,mathalani yutong yenye hp 360 inakatwa hata na ka babe walker ka hp 130!Hahahah gari ya kinyonge ni below 2OOHp vinginevyo sio kinyonge
Hahahahah hujapiga sprint za 130mph 😂😂😂 kabisa? Njia ya Dom inashawishi mnoNimepata 11km/L Dar-Dom foleni Dar-Chalinze imefanya nitembee vizuri. Moro-Dom Napo mdogo mdogo.
Mafuta inanusa, umeme mwingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimepata 11km/L Dar-Dom foleni Dar-Chalinze imefanya nitembee vizuri. Moro-Dom Napo mdogo mdogo.
Hio kiofisa mnoNimetembea sana 80-120kph bila kupenda. Wese limebaki katikati ya nusu na robo linatosha 185km.
Ile ina reserve tank?Ningekuwa na VW ningepiga sana 150-170kph ningefuta tank moja. Ile inanipa kichaa.
Hahahahah hivi kile kina average ngapi per litre?Ah wapi. I meant ningefika taa inawaka
Mileage is not what you drive, it is how you drive.Mafuta inanusa, umeme mwingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]