Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ila mkuu kuna Ile crown ya 3.0L ina 252Hp kama sijakosea ni ya moto pia.
 
Mimi ninayo hyo ya 215hp,siku nimegusa ya 3000cc niliona utofauti mkubwa,Ila nilichogundua 180km ndio tatizo mzgo ulitakiwa uwe zaidi ya hapo.

Hata hizi majesta V8 zina Hp kubwa lakini kisahani hakiendani na hyo configuration ya engine.
3GR ni nyepesi zaidi. Inatembea mno yani sema mchawi ni 189 kph ndio mwisho ila dawa ni kuondoa hicho kikwazo tu. Ikipatikana garage wanayoondoa hio limiter hakuna crown ambayo inashindwa handle 25O Kph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…