Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hio Crown ikifika kwa vijana wa Katalunya inakula mkono mmoja kisha inaveshwa bei ya 12m.Ha ha ha aisee! Kumbe ndio maana huwa nawaona madalali wa magari Oysterbay wakiyapiga picha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio Crown ikifika kwa vijana wa Katalunya inakula mkono mmoja kisha inaveshwa bei ya 12m.Ha ha ha aisee! Kumbe ndio maana huwa nawaona madalali wa magari Oysterbay wakiyapiga picha!
wale jamaa weziHio Crown ikifika kwa vijana wa Katalunya inakula mkono mmoja kisha inaveshwa bei ya 12m.
Ila nili-experience kitu tofauti baada ya kwenda Oman. Kule sana gari zao GMC, Dodge Challenger, Hyundai n.k. Na sana wanapenda gari za Korea.Kweli kabisa. Hio Alphad unaiona inakimbia kwasababu ya gari unazotumia.
Upewe kwa bei mojaKwani bei zitakuwa sawa?! Moja itakuwa kitonga regardless of registration.
Wahuni sio watuwale jamaa wezi
Hapo umenena maana nilitumia Alphard kipindi flani from Dar-Katavi ilikuwa imeshuka kutoka Kwa wenyewe huko basi sikuona kama ina fumuka vizuri aisee.Ni 2AZ (four cyls), inategemea na gari ambayo umezoea kutumia chief, huenda ina power kuliko Aphard (2AZ). Maana kuna watu wanasema Crown (4GR) ni nzito kutokana na magari wanayotumia.
Wale hawahofii mafuta. Wana magari yenye engine kubwa sanaIla nili-experience kitu tofauti baada ya kwenda Oman. Kule sana gari zao GMC, Dodge Challenger, Hyundai n.k. Na sana wanapenda gari za Korea.
Ila baada ya kujaribu Dogde Challenger niliona kabisa kuwa sie huku hakuna jipya.
Wale hawahofii mafuta. Wana magari yenye engine kubwa sana
Sanaa, mafuta sio suala la kuwaza kule.Wale hawahofii mafuta. Wana magari yenye engine kubwa sana
Kuna ndugu yangu kila siku ananilazimisha kuchukua hilo lidude ila hesabu zangu zimegoma kuanzia ushuru hadi kulihudumia.Mtu akikupa Dodge Challenger ameamua kukutia umasikini
Madalali sio watu huyo jamaa alie post unaweza kuta hata yeye ni dalali bei aliyopewa ukute kapewa 4.5ml au 4ml yeye kaongeza 1.5mlHio Crown ikifika kwa vijana wa Katalunya inakula mkono mmoja kisha inaveshwa bei ya 12m.
Chuma imekula air intake ya kibishoo 😂😂😂 kwa hizo taa sina shaka chuma iko kitozi sana
Kila la kheri mkuu,Gari zenye engine kubwa ni nzuri Kwa safari aisee.Kesho naingia Tanga na hii kitu....
Kwahio ukiiweka hio inavuta hewa ya baridi kutoka wapi hapo?Cold air intake. Normally watu wanaweza kwenye performance cars. Inaongeza fuel efficiency,power etc.
Hii kitu naipenda sana.KIA kama KIAView attachment 2322161