Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni 2AZ (four cyls), inategemea na gari ambayo umezoea kutumia chief, huenda ina power kuliko Aphard (2AZ). Maana kuna watu wanasema Crown (4GR) ni nzito kutokana na magari wanayotumia.
Hapo umenena maana nilitumia Alphard kipindi flani from Dar-Katavi ilikuwa imeshuka kutoka Kwa wenyewe huko basi sikuona kama ina fumuka vizuri aisee.
 
Mtu akikupa Dodge Challenger ameamua kukutia umasikini
Kuna ndugu yangu kila siku ananilazimisha kuchukua hilo lidude ila hesabu zangu zimegoma kuanzia ushuru hadi kulihudumia.
20220812_171507.jpg
 
Back
Top Bottom