SORENTO inapendwa sana hio gari. Sema tu sina imani na Mkorea japo naona ameimprove sana sikuhizi.KIA kama KIAView attachment 2322161
Ina maana still itategemea hewa ya kutoka nje vile vile?
Haina tofauti na snorkelInachofanya ni kukinga air filter haipati joto la engine ndio maana inakuwa cold. Hewa hio hio.
Snorkel ni hewa tu, sema imepanda juu kwa sababu ya shughuli za 70 series.Snorkel sio kukinga na maji zaidi?
Niliwahi kumuuliza mtu wa TRA kuhusu kusajili kwa namba za zamani. Akisema ati hakuna huo utaratibu.Kuna crown nimeichukua nilikuwa natamani kama kuna mchongo nisajili kwa namba A 😀😀😀😀 sijaisajili na si subiri namba E
sure hakuna huo utaratibu, ila unaweza tumia namba . sema ukiotewa mtasumbua na maafande . Na hii wanafanya sana kwenye gari za matukio na hasa kwenye crownNiliwahi kumuuliza mtu wa TRA kuhusu kusajili kwa namba za zamani. Akisema ati hakuna huo utaratibu.
Hakuna. Kinachofanyika ni illegal. Mtu anachukua details za written off car anaweka kwenye gari yake ya mchongo aka kubatiza.Niliwahi kumuuliza mtu wa TRA kuhusu kusajili kwa namba za zamani. Akisema ati hakuna huo utaratibu.
Kumbe!Hakuna. Kinachofanyika ni illegal. Mtu anachukua details za written off car anaweka kwenye gari yake ya mchongo aka kubatiza.
Gari yenye 6l au 7l ni umasikini nje nje.Mtu akikupa Dodge Challenger ameamua kukutia umasikini
Hyundai anakuletea Genesis.SORENTO inapendwa sana hio gari. Sema tu sina imani na Mkorea japo naona ameimprove sana sikuhizi.
Hii ametengeneza kweli, looks ziko A1
Itafika kipindi watu watataka kusajili magari yao kwa namba za zamani.Kumbe!
Sema TRA wangefanya rasmi. Ikibidi kulipia gharama kidogo ya nyongeza kama unataka namba ya usajili ya zamani.