National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Ndio hakuna kinacho shindikana. Tanzania imeja na mifumo mingi sana na mizuri, ila imekuwa haina impact. Nikiwa mdau mzuri tu wa ICT kuna mwaka kati ya 2009 na 2010 DIT walipata msaada wa Super Computer kutoka india, ila wapi haijawa kabisa na matokeo chanya na yaliyo tarajiwa. Mfumo wa kusajiri magari ni rahisi sana, ila kunaweza kukawa na level ya access ambayo kama hatupo makini utaleta shida na umakini sio tamaduni yetuHakuna kinachoshindikana.
Kunatengenezwa central system ambayo hizo municipals wanapewa access kwa ajili ya kufanya hizo registration.