Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimetoka Moshi 1630 sasa hivi 2100 nipo Msata, wale wanasema Dar Moshi masaa matano huwa mnaendeshaje? Maana nimetembea balaa!
He he una hakika ulikuwa unatembea haswa? Maana kwa utembeaji wa kilometre 45O ulitakiwa uzifute kwa masaa 4 tu yani Msata ilitakiwa saa 193O uwe ushafika hapo kama kweli ulipasuka mwanzo mwisho.

4GR mashine kubwa mzee baba umefelije, Dar-Moshi haina malori sana 😂
 
Yes mkuu kwangu mimi TRA imepewa majukumu mengi, hili la usajili wa magari kila metro zingeruhusiwa kusajili magari, na hakuna kigeni ni kuwa na strong systems, nilitembelea Namibia kipindi fulani nikaona magari yanasajiliwa na metros/municipalities, means gari iliyosajiliwa Songea ikiingia morogoro ni rahisi kutambulika, tra wadeal na kodi kubwa kubwa
Nahisi dunia nzima magari yanasajiliwa kwa manispaa na majiji. Na ukihama unaweza sajili tena unapohamia ni kukeep track. Ila tz ndio hivyo TRA ni kila kitu
 
Back
Top Bottom