Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakuwa wanatembee zaidi ya mtembeo wako mkuuNimetoka Moshi 1630 sasa hivi 2100 nipo Msata, wale wanasema Dar Moshi masaa matano huwa mnaendeshaje? Maana nimetembea balaa!
Mkuu ni 420+ km,Bila shaka huo mwendo ulikua wa kawaida, moshi hadi msata ni kama 300km,huu ni mwendo wa saa2:30 hivi
420KM ukiwa serious kibati (mida ya usiku), five hours unatoboa.Mkuu ni 420+ km,
Mkuu ni 420+ km,
Sasa unatakiwa uende below hiyo ili hata km 120 ya Msata to DAR iwe ndani ya hayo masaa ma5 wadau wanayosema.420KM ukiwa serious kibati (mida ya usiku), five hours unatoboa.
He he una hakika ulikuwa unatembea haswa? Maana kwa utembeaji wa kilometre 45O ulitakiwa uzifute kwa masaa 4 tu yani Msata ilitakiwa saa 193O uwe ushafika hapo kama kweli ulipasuka mwanzo mwisho.Nimetoka Moshi 1630 sasa hivi 2100 nipo Msata, wale wanasema Dar Moshi masaa matano huwa mnaendeshaje? Maana nimetembea balaa!
Mzee umeuweka sana road 😂😂😂 yani umetembea kama basi la Kilimanjaro Express tu 8hrsMsata 2130, Mwenge 2300
Possible ila kuna mahali ulipoteza muda bila shaka, unge average 12OKPH within 4 hours ungekuwa umefika Msata.Mission impossible
1.5hrs Msata to Mwenge! Au hujaelewa? In total Dar-Moshi nimetumia 6hrs. Nimeosha 50kph zote. Anaesema anatumia 5hrs siamini kabisa hasa hizo Toyota za kawaida.Mzee umeuweka sana road 😂😂😂 yani umetembea kama basi la Kilimanjaro Express tu 8hrs
14O-17O kph humoDo you know what it takes to get 120kph average?
Soma vizuri. Dar-Moshi sio 420km.Kama gari kubwa uyole-ubungo petrol station tulitumia masaa tisa(coaster 12h-t)kwa umbali wa km800,hiyo 420km anashindwaje kutumia masaa matano tena gari ndogo!?shuhuda ni dereva wa hiyo coaster wa biafra(maarufu Dullah)
Nahisi dunia nzima magari yanasajiliwa kwa manispaa na majiji. Na ukihama unaweza sajili tena unapohamia ni kukeep track. Ila tz ndio hivyo TRA ni kila kituYes mkuu kwangu mimi TRA imepewa majukumu mengi, hili la usajili wa magari kila metro zingeruhusiwa kusajili magari, na hakuna kigeni ni kuwa na strong systems, nilitembelea Namibia kipindi fulani nikaona magari yanasajiliwa na metros/municipalities, means gari iliyosajiliwa Songea ikiingia morogoro ni rahisi kutambulika, tra wadeal na kodi kubwa kubwa
163O-21OO = 4.5HRS (Moshi-Msata)1.5hrs Msata to Mwenge! Au hujaelewa? In total Dar-Moshi nimetumia 6hrs. Nimeosha 50kph zote. Anaesema anatumia 5hrs siamini kabisa hasa hizo Toyota za kawaida.