Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimetoka Moshi 1630 sasa hivi 2100 nipo Msata, wale wanasema Dar Moshi masaa matano huwa mnaendeshaje? Maana nimetembea balaa!
Nilipata msiba tukatoka Misa muhimbili saa kumj jioni. Maiti ikatangulia Moshi, nikapata lifti ya V8. Boss mwenye gari Kuna mambo alikuwa anaweka saw hapa dar. Tukatoka mikocheni 00:15 hrs, saa 05:26 hrs tuko Moshi mjini tunaisubiri Costa iliyombeba marehemu tupande kibosho. Hatukusimama njiani tulikula kabisa kabla ya safari hata kukojoa hakuna tulisimama pale sheli total Moshi mjini. Chombo chenyewe kama hiki
2013-Toyota-Land-Cruiser-200-46-V8-VX-Auto.jpg
 
Nilipata msiba tukatoka Misa muhimbili saa kumj jioni. Maiti ikatangulia Moshi, nikapata lifti ya V8. Boss mwenye gari Kuna mambo alikuwa anaweka saw hapa dar. Tukatoka mikocheni 00:15 hrs, saa 05:26 hrs tuko Moshi mjini tunaisubiri Costa iliyombeba marehemu tupande kibosho. Hatukusimama njiani tulikula kabisa kabla ya safari hata kukojoa hakuna tulisimama pale sheli total Moshi mjini. Chombo chenyewe kama hikiView attachment 2324090
Hii nakubali. Sio mtu anaendesha Premio au Wish aseme anapiga 5hrs Dar Moshi,sio kweli.
 
Do you know what it takes to get 120kph average?

Mwendo mkali kwenye safari ndefu huwa inapendeza angalau kukiwa na kaligi, ukiwa na kampani kwenye gari ya dereva anayeku encourage kupeleka moto, ukiwa unawahi vitu kama msiba/harusi, ukiwa unawahi kurudi kwa mkoloni, ukiwa kwenye mood ya kupeleka moto (maana kuna siku mtu unakuwa huna mood ya mimbio)
 
Msata hadi Dar nilikutana na Forester latest model kabisa, huyu ndio kafanya hii safari iwe fupi,tuliachana hapo Bunju.
 
Kama gari kubwa uyole-ubungo petrol station tulitumia masaa tisa(coaster 12h-t)kwa umbali wa km800,hiyo 420km anashindwaje kutumia masaa matano tena gari ndogo!?shuhuda ni dereva wa hiyo coaster wa biafra(maarufu Dullah)

9hrs Mbeya Dar inawezekana kabisa, ndio mwendo raia wengi wanaomwaga moto wanautumia...(hii ni usk tu lakini au mida wajomba hawapo barabarani)
 
Nilipata msiba tukatoka Misa muhimbili saa kumj jioni. Maiti ikatangulia Moshi, nikapata lifti ya V8. Boss mwenye gari Kuna mambo alikuwa anaweka saw hapa dar. Tukatoka mikocheni 00:15 hrs, saa 05:26 hrs tuko Moshi mjini tunaisubiri Costa iliyombeba marehemu tupande kibosho. Hatukusimama njiani tulikula kabisa kabla ya safari hata kukojoa hakuna tulisimama pale sheli total Moshi mjini. Chombo chenyewe kama hikiView attachment 2324090
Hili dude sio masihara😂😂😂 boss alikuwa anamimina moto. Around 5 hrs na madakika
 
Back
Top Bottom