Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hakuna kinachoshindikana.

Kunatengenezwa central system ambayo hizo municipals wanapewa access kwa ajili ya kufanya hizo registration.
Ndio hakuna kinacho shindikana. Tanzania imeja na mifumo mingi sana na mizuri, ila imekuwa haina impact. Nikiwa mdau mzuri tu wa ICT kuna mwaka kati ya 2009 na 2010 DIT walipata msaada wa Super Computer kutoka india, ila wapi haijawa kabisa na matokeo chanya na yaliyo tarajiwa. Mfumo wa kusajiri magari ni rahisi sana, ila kunaweza kukawa na level ya access ambayo kama hatupo makini utaleta shida na umakini sio tamaduni yetu
 
Huo mfumo ubakie kwa TRA tu sababu wabongo walivyo na janja janja watatengeneza chanzo cha rushwa huko manispaa itakuwa ni shida tu. Bora zimwi likujualo tu la TRA

Hata huo unaotumika sasa hivi unawezekana kufanya hiyo kazi, ni kama simu tu kila mkoa unapewa code yake. Ila shida moja umakini na u serious wetu wa mashaka mashaka sana
 
Labda waingize wataalamu kila mkoa ila kwa style yetu ya "Kamlete" wataingizwa watu incompetent mwishowe kazi ya nusu saa itakuwa ya mawiki
 
Back
Top Bottom