Duh kweli hesabu ngumu.163O-2O3O = 4 HRS
213O-23OO = 3.5HRS
Ama mie ndio sielewi hesabu vizuri mzee.
Ahaa hapo umetembea kifaza sana. 8 hours mwendo mzuri sana. Kwa mipasuko ulitakiwa utumie 5 hrs sema sheli ingekutahiri.
Ha ha nahisi mning'inio unanisumbua. 😂😂😂Btw 2100-2300 ni masaa mawili
Msata-Dsm 2130-2300 nilipiga misosi Msata.
Nilipata msiba tukatoka Misa muhimbili saa kumj jioni. Maiti ikatangulia Moshi, nikapata lifti ya V8. Boss mwenye gari Kuna mambo alikuwa anaweka saw hapa dar. Tukatoka mikocheni 00:15 hrs, saa 05:26 hrs tuko Moshi mjini tunaisubiri Costa iliyombeba marehemu tupande kibosho. Hatukusimama njiani tulikula kabisa kabla ya safari hata kukojoa hakuna tulisimama pale sheli total Moshi mjini. Chombo chenyewe kama hikiNimetoka Moshi 1630 sasa hivi 2100 nipo Msata, wale wanasema Dar Moshi masaa matano huwa mnaendeshaje? Maana nimetembea balaa!
6 hours umetembea vizuri mkuu😂😂😂 tuachane na hesabu za masaa, naona zinanivuruga tu.Huyo hesabu imempiga chenga. Nimetumia 6hrs driving.
Hii nakubali. Sio mtu anaendesha Premio au Wish aseme anapiga 5hrs Dar Moshi,sio kweli.Nilipata msiba tukatoka Misa muhimbili saa kumj jioni. Maiti ikatangulia Moshi, nikapata lifti ya V8. Boss mwenye gari Kuna mambo alikuwa anaweka saw hapa dar. Tukatoka mikocheni 00:15 hrs, saa 05:26 hrs tuko Moshi mjini tunaisubiri Costa iliyombeba marehemu tupande kibosho. Hatukusimama njiani tulikula kabisa kabla ya safari hata kukojoa hakuna tulisimama pale sheli total Moshi mjini. Chombo chenyewe kama hikiView attachment 2324090
Do you know what it takes to get 120kph average?
Msata hadi Dar nilikutana na Forester latest model kabisa, huyu ndio kafanya hii safari iwe fupi,tuliachana hapo Bunju.Mwendo mkali kwenye safari ndefu huwa inapendeza angalau kukiwa na kaligi, ukiwa na kampani kwenye gari ya dereva anayeku encourage kupeleka moto, ukiwa unawahi vitu kama msiba/harusi, ukiwa unawahi kurudi kwa mkoloni, ukiwa kwenye mood ya kupeleka moto (maana kuna siku mtu unakuwa huna mood ya mimbio)
Kama gari kubwa uyole-ubungo petrol station tulitumia masaa tisa(coaster 12h-t)kwa umbali wa km800,hiyo 420km anashindwaje kutumia masaa matano tena gari ndogo!?shuhuda ni dereva wa hiyo coaster wa biafra(maarufu Dullah)
Dar-Moshi jumla ni kitu kama 543km according toSoma vizuri. Dar-Moshi sio 420km.
Hili dude sio masihara😂😂😂 boss alikuwa anamimina moto. Around 5 hrs na madakikaNilipata msiba tukatoka Misa muhimbili saa kumj jioni. Maiti ikatangulia Moshi, nikapata lifti ya V8. Boss mwenye gari Kuna mambo alikuwa anaweka saw hapa dar. Tukatoka mikocheni 00:15 hrs, saa 05:26 hrs tuko Moshi mjini tunaisubiri Costa iliyombeba marehemu tupande kibosho. Hatukusimama njiani tulikula kabisa kabla ya safari hata kukojoa hakuna tulisimama pale sheli total Moshi mjini. Chombo chenyewe kama hikiView attachment 2324090
Pale ndio unatakiwa ufute kisosi 😂😂😂Ila Same-Mombo 🙌🙌🙌🙌
Labda wenye VXR wasio na hofu ya kutoboaNashangaa wanaosema wanatumia 5hrs na tugari twetu wanaendeshaje?