Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sasa mituta ya nini highway yani bongo wakandarasi wana ukichaa mno. Njia inajazwa matuta na zebra crossing badala ya kuweka vivuko na madaraja ya kuvushia raia side A to B
 

Tatizo sio Tanroads, tatizo ni sisi wenyewe kukimbilia kujenga pembezoni ya barabara kuu...

Hivyo kiusalama inabidi waweke hizo mambo kuepusha ajali na vifo...
 
Tatizo sio Tanroads, tatizo ni sisi wenyewe kukimbilia kujenga pembezoni ya barabara kuu...

Hivyo kiusalama inabidi waweze hizo mambo kuepusha ajali na vifo...
Sawa mkuu ila kuishi kwa kufuata sheria tulizojiwekea ndio msingi hapa, freeways hakutakiwi kuwe na wanyama, pedestrians even bodaboda na mipaka yake ni lazima iheshimiwe,na bottom line NO tutas kwenye freeways, jenga fixed speed cameras,na pale mikumi national park kungejengwa speed zinazo Pima muda unaotumia kusafiri from one point to another, kuna mtu alijaribu kujenga pale hizi camera pale Ruvu darajani, ila kawaida yetu watu wakapiga hela
 
Itakuwa kuna muda anajiachia na kuna muda anajisahau kumwaga moto.
 
Hivi haiwezekani kutia wavu mle hata mfupi tu
Wavu hapana mkuu maana sisi binadamu ndio tumewangilia kwenye mazingira yao ila tunaweza ishi kwa pamoja,nimeona pale Kasane, Botswana wanyama wapo mjini kabisa ila wana corridors zao na muhimu mno right of the way ni yao, corridor nyingine muhimu ipo mlangoni kabisa unavyotoka Botswana kuingia zambia, kabla ya pacha za kwenda Zimbabwe na zambia kuna wild animals corridor pale.
 
The freeway from Nata hadi Kasane inapita kwenye wanyama wengi mno(wild &domestic one),walichokifanya both side ya barabara ipo clean (20m)hii inafanya wanyama wadogo wasije barabarani maana wanakua exposed, na hii imesaidia mno, kwa hiyo ni daga boy's na tembo wanaovinjari barabarani, ni wakubwa means visibility ni nzuri ILA driving at nite in Botswana ni risk kubwa, make sure gari ipo Safi,na taa zako ziwe safi, off course kwa dereva maji mengi na reduces kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…