Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahaha kwahio dereva alimimina moto kiuhakika 😂😂😂Boss alikuwa haendeshi alimpanga dereva mapema akapunzike. Yeye aliendesha mchana kwenye mizunguko take. Na gari ndani Ina ka fridge aliweka castle lager zake alizibonyeza mbili akalala.