Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Jamaa mbishi kisa yeye hajashuhudia,namshangaa au anapanda haya mabasi ya sasa hivi(ya mikeka)likifika saa tano kutoka mwanza huona maajabu[emoji23][emoji23]
 
Jamaa mbishi kisa yeye hajashuhudia,namshangaa au anapanda haya mabasi ya sasa hivi(ya mikeka)likifika saa tano kutoka mwanza huona maajabu[emoji23][emoji23]
Bwana mdogo nimeendesha gari zina mwendo kuliko hizo unazofikiria wewe. Acheni uongo. Kuna gari za kwenda Dar-Moshi 5hrs sio hivyo vigari vyenu. Kuna mtu kasema alikuwa na lc200 na mwingine disco 5 hao wala siwashangai sio nyinyi mniletee fix za wish sijui Ops uende Moshi 5hrs.
 
There is no way utatembea 136KMs kwa saa 1.

Hio Dar-Chalinze tu ni 102kms ila estimates ni 2hrs straight.
Inawezekana kama mkeka umetulia na hauna jam na kama unachuma chenye kifua kipana, Kuna siku nilishatembea kwa seed 140-220 hadi namalizia safari, hiyo siku nakumbuka ilikuwa jumapili hakukuwa na trafic njia nzima na road ilikuwa nyeupe kama niliandaliwa vile, nilipunguza mwendo sehemu tatu tu. safari nzima na mwendo unapunguza ile kwa kunyunyiza tu
 
Inawezekana na gari gani unatumia. Labda alikuwa na VX-R kwenye matuta anapita na 100+kph kwingine 200+kph
 
Kwa hio speed average itakuwa 13O au zaidi. Atleast unaweza kuwa ndani ya muda
 
Tulikuwa tumeongozana sio kwa lengo la kupitana, na tulifika wote town. Ila kama unadharau hilux D4D, aisee bado hujatembea.
Hilux watu wanaichukulia poa, ikiwa na 1KD inatembea tena ikiwa turbo charged huwa haisinzii milimani inapanda na kushuka kama tambarare.

Gari ya 17OHP sio ya kinyonge highway hasa mtu akiikalia vizuri. Kuipata 18Okph ni muda mchache tu.
 
Kwahio unaweza kuiweka kwenye ligi za 2/3/4GR?
Humo kwa GR series one on one drag race 1KD haiwezi imezidiwa nguvu ila kwa michezo ya tailing na kukimbizana highway still ina power. Sio ya kuibeza. Engine za kichovu ni 3RZ na 2TR.

Subaru XT yenyewe ya 15OHP ikimkuta hilux yuko above 150 mshaleni itafanya kazi ya ziada kuikimbiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…