Jamaa mbishi kisa yeye hajashuhudia,namshangaa au anapanda haya mabasi ya sasa hivi(ya mikeka)likifika saa tano kutoka mwanza huona maajabu[emoji23][emoji23]Unaweza ukawa Tomasso lakini hivi vitu vipo, 500km kwa around 5hrs unakwenda vizuri kabisa. Tulikuwa tumeongozana na Hilux D4D, inatembea balaa. XT sio mashine ya kuchezea, siku nyingine tumetoka Tukuyu saa 9:30 asubuhi, saa 1.00 tulikuwa Iringa tunapata breakfast.
Kuna siku nimepanda IT, tumetoka Misugusugu saa 5.30 usiku, by 12.30 tulikuwa Nanenane Mbeya. Watu wanatembea mkuu.