Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sasa mkuu kama basi kabla ya tochi ziliweza kufika Mbeya kwa masaa tisa,OPA yenye 1.8L/2.0L inashindwaje ku-cover interval ya km 500 kwa huo muda?Ugumu wa sasa ni kwenye ubize wa barabara lakini gari za sasa nyingi ziko vizuri kuliko za zamani.
 
Sawa mkuu.
 
Nashangaa wanavyozidharau,hizo pick up za generation ya sasa bila kujali brand(TATA excluded) si za kuchukulia poa ni hatari!hata mitsubishi L200 zitakustaajabisha.
 
Hebu nisaidie hilo mkuu, iko siku ntaweka record 😆 maana gari iwe stable tu speed yeyote unatembea.
 
Nashangaa wanavyozidharau,hizo pick up za generation ya sasa bila kujali brand(TATA excluded) si za kuchukulia poa ni hatari!hata mitsubishi L200 zitakustaajabisha.
Kaka acha kabisa.... nimewahi kuongozana na L200 za Total, zile DLV series; ni moto balaa, nilikuwa natembea na mwendo huu, lakini jamaa bado namuona nyuma yangu 😂 😂 😂 😂

Mzee nilitaka nikutetee ila kwa swala la kuniambia Msata hadi segera unatembea kwa 1 Hour hio naona ni Africafe coffee kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kuwa huwa hatupo wote, sina haja ya kukaza misuli ya kichwa kibishana na wewe. Ukitaka kujua kama inawezekana au laa.. Na wewe jaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…