Okay nimekupata.Ni rekodi ya muda mfupi tu ambao naingia kwenye app na kutoka hivyo si kama safari yote inakuwa mwendo ni huo huo wa 69 avrg.
Mfano hapa niliingia barabarani itanipasa top speed na avrg ni ngapi ata na nitakuonesha baada ya hii screen shot uon
Sasa ungepost screenshot ambayo ina support hiyo claim. Unachokizungumzia na ukichopost ni vitu tofauti. Road trips haziwi determined na max speed mkuu bali average speed.Sirari singida ni km 660 sasa unashangaa kutumia masaa 6 tena usiku kwa D4D
Tazama hapo max speed ni 160.
Na ukitembea focus yako ikiwa kwenye wastani huangaiki na kukimbiza kimbiza gari hovyo , na unamaliza safari yako kwenye mda. Unajua wapo ulitembea chini wapi ufidie unatembea kiafisa kabisaSasa ungepost screenshot ambayo ina support hiyo claim. Unachokizungumzia na ukichopost ni vitu tofauti. Road trips haziwi determined na max speed mkuu bali average speed.
Yani ndo nnachofanyaga. Nikanza trip nareset trip & fuel computer then nakuwa kila baada ya muda muda fulani naangalia average yangu na ku adjust. Nikiwa sina shida na wese nalenga 90kmph otherwise nabalance average fuel consumption na average speed. Most times at 84kmph nakuwa na 9.5kmpl.Na ukitembea focus yako ikiwa kwenye wastani huangaiki na kukimbiza kimbiza gari hovyo , na unamaliza safari yako kwenye mda. Unajua wapo ulitembea chini wapi ufidie unatembea kiafisa kabisa
Watu washashusha latest machineHali ngumu sana mjini
View attachment 2333311
Wanahakikisha uyole wanaingia alfajiri kuwakwepa trafiki.IT wanakimbia kuoko mda, wanaleta hamasa sana ukiwa umeboreka road ..
za 2022 zinetoka tayari piaWatu washashusha latest machine
Top speed 160kph
Current speed 89kph
Average speed 69.9
All the best. Ukirudi uko hatarini kununua hio. Ila ingekuwa 2.0Tsi 7-speed dual clutch automatic ungeona ufundi wa Mjerumani.Kesho napiga trip ya Arusha.
Nataka ondoka sa 8 mchana, mdogomdogo mwendo wa kifaza.
Nimeazima mjerumani VW Tiguan, 2.0L 6 speed Manual,
Nione flavour ya mzungu safarini.
Kila la kheri mkuu.Kesho napiga trip ya Arusha.
Nataka ondoka sa 8 mchana, mdogomdogo mwendo wa kifaza.
Nimeazima mjerumani VW Tiguan, 2.0L 6 speed Manual,
Nione flavour ya mzungu safarini.
Safari salama mkuuKesho napiga trip ya Arusha.
Nataka ondoka sa 8 mchana, mdogomdogo mwendo wa kifaza.
Nimeazima mjerumani VW Tiguan, 2.0L 6 speed Manual,
Nione flavour ya mzungu safarini.
Welldone mkuu na travel safely, ukifika Namtumbo pls piga piga picha nyingi ,na vijiji vyote kati ya Namtumbo na Songea hasa,Lwegu, Kumbara, Litola, Namabengo na Lumecha, pls pls mkuu na tupia humu au PM meSafari ni Dar - lindi - mnazi mmoja - masasi - tunduru - namtumbo - songea - mbinga na kituo ni mbambabay... Total filling station shekilango hapa nakunywa mafuta.. muda 10:14
3gr kifuani... View attachment 2335209
Nina muda mrefu sana sijapita njia ya kusini. Mara ya mwisho nafikiri ni 2013 hivi wakati kile kipande korofi ndio kimewekwa lami mpya. Sijui sasa hivi njia hio ikoje.Safari ni Dar - lindi - mnazi mmoja - masasi - tunduru - namtumbo - songea - mbinga na kituo ni mbambabay... Total filling station shekilango hapa nakunywa mafuta.. muda 10:14
3gr kifuani... View attachment 2335209
Njia ni ya hovyo sana, ni kama ya igawa to mbeya tu. Masasi to songea mpaka mbambabay kuna mkeka swaaafiNina muda mrefu sana sijapita njia ya kusini. Mara ya mwisho nafikiri ni 2013 hivi wakati kile kipande korofi ndio kimewekwa lami mpya. Sijui sasa hivi njia hio ikoje.
Thanks mkuu.... ila nafikiri namtumbo nitapita usiku... nitafanya kitakachowezekana...Welldone mkuu na travel safely, ukifika Namtumbo pls piga piga picha nyingi ,na vijiji vyote kati ya Namtumbo na Songea hasa,Lwegu, Kumbara, Litola, Namabengo na Lumecha, pls pls mkuu na tupia humu au PM me
Thanks, mkuu ukipita usiku ni sawa will wait next time, Nami ninafikiria kufanya hii route InshaAllahThanks mkuu.... ila nafikiri namtumbo nitapita usiku... nitafanya kitakachowezekana...