Kama unaendesha usiku na huna convoy hasa za ITS,fanya convoy na malori ya mafuta, maana yanakua yanarudi empty na yanatambaa sana ILA ni muhimu mno dreva wa tank afahamu uweko wako, tailing sio nzuri maana anaweza hisi ya a bad man,mpite kwa heshima, mpe hoot za kirafiki, then Mwache akupite awe ana clear njia