Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Ya nini ujiumize, uingie ligi ambayo huwezi kushinda
Mambo mengine ni rahisi kabisa. Umeanza safari umetembea zaidi ya masaa mawili au matatu halafu ghafla unaona kuna mtu nyuma yako anataka kupita mpishe tu maana mpaka kakufikia ni wazi anaenda mbio kuliko wewe. Sasa wengine hapo ndio wanaanzisha ligi.
 
Sometime ule upweke unaku boa na kukuslow down so anapokuja mtu kukupitia unaunga msafara unamfanya pacemaker at a safe following distance. Unapata mtu wa kukuangalizia barabara na kukuamsha speed. Ni raha ya road trip na inapunguza sana fatigue usiku.

Cha kuzingatia ni following distance. Kuna madereva hawazingatii kabisa kuacha nafasi. Kwa highway speed ni hatari sana. Nawawashiaga hazard afu naslow down. Nilishagongwa kwa nyuma kutokana na hayo kwahiyo nakuwa aware sana kuangalia nyuma.
 
View attachment 2337255
Mwamba kuna fuga hili liko sokoni
Huyu fuga lastborn, 207HP 2500cc

Kuna fuga ya kati 283HP 3500cc

Na kuna fuga firstborn 328HP 4500cc V8

Trims zinaanzia XV, XVVIP, GT na GT FOUR (4WD)

Zote body na interior ni ile ile, ila engine & trim kubwa zaidi zina more luxury features mfano heated & cooled seats, bluetooth audio (zote zina bt calls), heated & powered rear seats, foldable rear multimedia screen, sunroof, LED rear lights e.t.c

Hiyo 250GT pichani ndio highest trim kwa 2500cc engine

Soko la used hazina bei hizo mkuu, zinaogopwa. Hapo mwenye gari anapewa 6-7M tu, dalali atamshikisha mtu kwa 8M+

Kuna mtu anataka aichukue?
 
Kuna mwanangu ndio anaiuza hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…