Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pamejengwa jengwa mkuu sijui ww labda ulipaachaje maybe mimi sikuwahi kupaona kabla. Tulipita kwa mbali like kuview then tulielekea njia nyingine
Pamejengwa sana tu kwa sisi ambao tumeishi miaka ya 90..... maana Enzi hizo ofisi za hapo zilikuwaga ni zile zimejengwa kwa mbao, baade miaka ya 2000+ ndo wakajenga hilo jengo ambalo lilikuwa linafanana kidogo na lile na upande wa malawi kabla ya kujenga hii ya sasa... japo wapo slow sana ila pamekuwa pazuri sana kwa sisi ambao tumeishi hapo.... wasalimie matenki hapo na kwa maganga..... (tulikuwa vijana wa kota enzi hizo)
 
Ilikua ni sfr ya kupita tuu mkuu..Asante kwa ufafanuzi maendeleo yanakuja japo mdogo mdogo si haba. Tulienda enzi hizo wkt niko sekondari miaka ya 2000 palikua si pabaya ila kwa sasa pamejengeka zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…