Ni pazuri na kuna maendeleo kwa kiasi chake... shida ni hela ya Malawi imeshuka sana kupelekea biashara kuyumba...Ilikua ni sfr ya kupita tuu mkuu..Asante kwa ufafanuzi maendeleo yanakuja japo mdogo mdogo si haba. Tulienda enzi hizo wkt niko sekondari miaka ya 2000 palikua si pabaya ila kwa sasa pamejengeka zaidi.
Yah halafu vitu vya kutoka kule bei rahisi sukari ya kule kwa wakazi wa Mbeya wanapata kwa bei rahisi kukompare na huku kwetu.Ni pazuri na kuna maendeleo kwa kiasi chake... shida ni hela ya Malawi imeshuka sana kupelekea biashara kuyumba...
Mkuu, Mjerumani anasema ametosha , fanya makeke tuyapange AutoTrader...Leo niko shamba ndio nageuza
View attachment 2345649
Maana yake ulikuwa Matema BeachRoad ya kwenda ziwa Nyasa nice for Vacation kuna view nzuri za safu za milima panapendeza. Nilikua huko na familia tunabarizi kidogo
View attachment 2345640
Ni salama zaidi kusafiri mchana. Watu wanapenda kusafiri usiku si kwasababu ya usalama, sababu kubwa ni kukwepa usumbufu wa speed limits na tochi mida ya mchanaAcha nisafiri mchana tu, usiku unikute mwisho wa safari.
Huo ni udereva mbaya na hatarishiNyinyi ndio wale mwenzio akiovateki na wewe unafuata nyuma. Udereva mbaya sana. Unawezaje kuendesha kwa akili ya mtu mwingine usiemjua?
Yes mkuu na motor ina perform vema usiku, cool temperature na tyres na pia kwa driver unakua more concentrated kuona ya mbele ambako unaongozwa na lights zako, mchana mara pisi kali imekatiza na macho yatageuka ti kuangalia,just imagine upo 120km/hr na untangling pisi kali kwa 5s, meters kibao unakua ume cover huku ukiwa ni passenger sio dreva!Ni salama zaidi kusafiri mchana. Watu wanapenda kusafiri usiku si kwasababu ya usalama, sababu kubwa ni kukwepa usumbufu wa speed limits na tochi mida ya mchana
Sio Matema kuna beach nyingine mbele kuleMaana yake ulikuwa Matema Beach
Ngonga Beach?Sio Matema kuna beach nyingine mbele kule
Matema moja hiyo Safi Sana.Road ya kwenda ziwa Nyasa nice for Vacation kuna view nzuri za safu za milima panapendeza. Nilikua huko na familia tunabarizi kidogo
View attachment 2345640
Bado Tu wanajenga hawajamaliza nilikuwa hapo last month.Vipi ujenzi pale border umeisha?maana muda mrefu pale Kasumulu border post
Faida za usiku ni chache kulinganisha na Faida za kutembea mchana.Ni salama zaidi kusafiri mchana. Watu wanapenda kusafiri usiku si kwasababu ya usalama, sababu kubwa ni kukwepa usumbufu wa speed limits na tochi mida ya mchana
Usiku naendesha kwa dharula sana, ila nachofanya safari huwa naanza alafajiri saa 10, huwa mda huu hewa ya baridi road ya baridi kufikia saa 3 asubuhi huwa nipo nusu ya safari na kwa maneno mengine nimefika napo endaYes mkuu na motor ina perform vema usiku, cool temperature na tyres na pia kwa driver unakua more concentrated kuona ya mbele ambako unaongozwa na lights zako, mchana mara pisi kali imekatiza na macho yatageuka ti kuangalia,just imagine upo 120km/hr na untangling pisi kali kwa 5s, meters kibao unakua ume cover huku ukiwa ni passenger sio dreva!
Nakubaliana nawe mkuu,hili la kuendesha usiku au mchana linategemeana na mazingira na weather, Tanzania hasa T1 uendeshaji wa usiku unahitaji umakini sana,Zambia ni muhimu kutoka nakonde hadi mpika uendeshe mchana, mpika hadi borders za Zambia na Zim au Botswana nite driving ni safi, Namibia,Botswana nite driving ni super, SA nite driving ni safi ILA usipate pacha au break down maana ukifikwa na haya hasa usiku mmmmmm, no risk kubwa mnoUsiku naendesha kwa dharula sana, ila nachofanya safari huwa naanza alafajiri saa 10, huwa mda huu hewa ya baridi road ya baridi kufikia saa 3 asubuhi huwa nipo nusu ya safari na kwa maneno mengine nimefika napo enda
Anything kinatokea uwapo na chombo cha moto, ni vyema ku rate usiku na mchana.. Nilishalala porini kishenzi na hakuna gari ilijaribu simama ili kuwa ni sehemu hatari... Nilichofanya nilijiweka fit kwa lolote litalo tokeaNakubaliana nawe mkuu,hili la kuendesha usiku au mchana linategemeana na mazingira na weather, Tanzania hasa T1 uendeshaji wa usiku unahitaji umakini sana,Zambia ni muhimu kutoka nakonde hadi mpika uendeshe mchana, mpika hadi borders za Zambia na Zim au Botswana nite driving ni safi, Namibia,Botswana nite driving ni super, SA nite driving ni safi ILA usipate pacha au break down maana ukifikwa na haya hasa usiku mmmmmm, no risk kubwa mno