Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

T1 day time driving kwangu mimi it's a NO, mrejesho wangu kuna challenges nyingi mno za kuendesha mchana, so far 30k minus on my pocket, ila madereva wa ST,SU,vyombo vya ulinzi, hawa ndio wenye hizi barabara, wana total control za barabara, wana overtake anywhere wanapotaka,iwe double au single barriers, speed Sina tatizo nalo as far it's safe, ninaelekea makanyagio nikaweke pit stop ,it's not broken ngoja nitulie na night driving, nilitaka kufanya majarobio
20220921_070850.jpg
 
T1 day time driving kwangu mimi it's a NO, mrejesho wangu kuna challenges nyingi mno za kuendesha mchana, so far 30k minus on my pocket, ila madereva wa ST,SU,vyombo vya ulinzi, hawa ndio wenye hizi barabara, wana total control za barabara, wana overtake anywhere wanapotaka,iwe double au single barriers, speed Sina tatizo nalo as far it's safe, ninaelekea makanyagio nikaweke pit stop ,it's not broken ngoja nitulie na night driving, nilitaka kufanya majarobioView attachment 2363278
J70 hii mkuu? hao jamaa huwa wanaona barabara ni yao kabisa wakati ni ya wote ila mizinga wanayopigaga huwa hachomokagi mtu
 
T1 day time driving kwangu mimi it's a NO, mrejesho wangu kuna challenges nyingi mno za kuendesha mchana, so far 30k minus on my pocket, ila madereva wa ST,SU,vyombo vya ulinzi, hawa ndio wenye hizi barabara, wana total control za barabara, wana overtake anywhere wanapotaka,iwe double au single barriers, speed Sina tatizo nalo as far it's safe, ninaelekea makanyagio nikaweke pit stop ,it's not broken ngoja nitulie na night driving, nilitaka kufanya majarobioView attachment 2363278
Pole sana mkuu, wenzio mchana huwa tunafuata sheria zote. tukifika sehemu inaruhusu kutembea unatembea kweli kweli mpaka STL inakupisha. Safari zangu zote za mwaka huu sina cheti hata kimoja na kuna sehemu za 50kph nyingi nimeosha sana uzoefu unasaidia.
 
Back
Top Bottom