Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nitakuwa na mieiz miwili, ya kumaliza kilicho nileta huku, ingawa nitakuwa naibia ibia jijini, dar es salaam ni dar es salaam tu🤠🤠Kwani unakaa muda gani hapo?
Nipo moro pia mkuu nimekuja kuusaka mchele siunajua saivi ni dili dsm nipo ifakara hapa.Morogoro mkuu
Aah! Moro pametulia mzee, nipo nipo hapaNipo moro pia mkuu nimekuja kuusaka mchele siunajua saivi ni dili dsm nipo ifakara hapa.
Tajiri umepoa kaholiday Kako [emoji16] Safi mkuu.Aah! Moro pametulia mzee, nipo nipo hapa
🤠🤠 Bwana weee hapa hakuna macho kama mjini, maisha hapa rahisiTajiri umepoa kaholiday Kako [emoji16] Safi mkuu.
Najua maisha yapo huku dar fujo kibao watu huwa hawajui Tu sehemu za kulia maisha zipo mikoani unapoa sehemu nimwendo WA nyanya choma [emoji16][emoji1783][emoji1783] Bwana weee hapa hakuna macho kama mjini, maisha hapa rahisi
Nasubiri mida, niende kihonda nina mke wangu anaitwa Khadija huyo ni miwjo wa maneno.. Kama hujakomaa unatoroka familiaNajua maisha yapo huku dar fujo kibao watu huwa hawajui Tu sehemu za kulia maisha zipo mikoani unapoa sehemu nimwendo WA nyanya choma [emoji16]
Yeah mkuu nilipita hiyo mpaka dom....Nilianza safari saa 4 asubuh nikafika dom mida yaa moja ucku niko hoi saaana nilipumzika kias pale chalinze nyama [emoji1][emoji1]Pita Morogoro road. Ni fupi ila changamoto yake ikitokea ajali au Lori kuharibika unaweza poteza masaa 6
Yaani kusafiri Dar-Dom imekuwa kero sana. Imagine km400+ tu unatumia masaa 10!Yeah mkuu nilipita hiyo mpaka dom....Nilianza safari saa 4 asubuh nikafika dom mida yaa moja ucku niko hoi saaana nilipumzika kias pale chalinze nyama [emoji1][emoji1]
Nyie ndio wale mnaokaa nyuma ya hizo Gari ambazo ziko exempted kwenye sheria za road ili wawape Back Up?Pole sana mkuu, wenzio mchana huwa tunafuata sheria zote. tukifika sehemu inaruhusu kutembea unatembea kweli kweli mpaka STL inakupisha. Safari zangu zote za mwaka huu sina cheti hata kimoja na kuna sehemu za 50kph nyingi nimeosha sana uzoefu unasaidia.
Toyota hilux 2.4L model 2018Unaenda gari gani hio ambayo inawekewa ligi na bus?
Nice pace setter ni Sauli, kanivuta sana,na thanks so much all wazee wa road trip,safely homeUnaenda gari gani hio ambayo inawekewa ligi na bus?
Hajaluacha hata chembe??Toyota hilux 2.4L model 2018
Yes mkuu ilikuwa box to box,but safe good following distance ni muhimuHajaluacha hata chembe??
Yes ni vizuri kua na tahadhari ya distance maana hao jamaa WA mabus mbrake ya gafla gafla ndo zao.Yes mkuu ilikuwa box to box,but safe good following distance ni muhimu