Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kikawaida bus huwa hazina mwendo wa kutisha isipokuwa wao wanauwezo wa kuovatake mahara popote ambapo wewe huwezi,wa bus yeye anapewa fair nyingi iwe na lori au gari yoyote. Mimi nilishawahi kutoka na bus zote mbeya mjini kuitafuta iringa via makambako ila hawakuweza hata kidogo zaidi ya kunipisha na kunipa mkono wa kuamsha, kikawaida speed yangu huwa ni 130 k/h ,huu ni mwendo wa kawaida kabisa kwangu tena ni comfortable, sasa huwa nashangaa mtu kusema wa bus anakimbia, ukitaka ligi fanya na watu wa IT, hapo ndo kunanoga
Watu wa IT 🫡 wale jamaa kama una gari usio eleweka utasanda.
 
Kikawaida bus huwa hazina mwendo wa kutisha isipokuwa wao wanauwezo wa kuovatake mahara popote ambapo wewe huwezi,wa bus yeye anapewa fair nyingi iwe na lori au gari yoyote. Mimi nilishawahi kutoka na bus zote mbeya mjini kuitafuta iringa via makambako ila hawakuweza hata kidogo zaidi ya kunipisha na kunipa mkono wa kuamsha, kikawaida speed yangu huwa ni 130 k/h ,huu ni mwendo wa kawaida kabisa kwangu tena ni comfortable, sasa huwa nashangaa mtu kusema wa bus anakimbia, ukitaka ligi fanya na watu wa IT, hapo ndo kunanoga
Bus gani linakimbia?

Arusha to Dar wanatumia masaa 10.

Yani 600 km wanatumia masaa 11.

Speed ipo wapi?

Mabasi ya zamani ndo yalikuwa hatari. Ngorika inaenda na kurudi, saa 6 mchana ashafika dar anapakia kugeuza.
 
Wewe mkuu ni team moja na mimi,speed ila responsible la muhimu gari iwe safi, slow na fast corners breaking zones zake uwe makini, yes 130km/h ni speed ya kawaida ila wameninyoa 30k kabla ya kuingia iringa ikabidi nitulize mpira kwanza, ligi ya iyovi hadi chalinze na sauli ilikua safi
 
Hio Sauli ilikuwa ligi au uliamua tu kuifuata as pacemaker?
 
Bus gani linakimbia?

Arusha to Dar wanatumia masaa 10.

Yani 600 km wanatumia masaa 11.

Speed ipo wapi?

Mabasi ya zamani ndo yalikuwa hatari. Ngorika inaenda na kurudi, saa 6 mchana ashafika dar anapakia kugeuza.
Upo right kabisa mkuu,bus 🚍 kwa Dar to Mbeya inatakiwa ifike pale 1300hrs kama imeondoka Dar at 0600am
 
Bus gani linakimbia?

Arusha to Dar wanatumia masaa 10.

Yani 600 km wanatumia masaa 11.

Speed ipo wapi?

Mabasi ya zamani ndo yalikuwa hatari. Ngorika inaenda na kurudi, saa 6 mchana ashafika dar anapakia kugeuza.
Yes enzi za Rombo investment ,Lang'ata bus ,hizi bus zilikua zina set pace ya route hii na usafiri wa usiku kutoka pale kisutu bus port
 
Pole sana mkuu, wenzio mchana huwa tunafuata sheria zote. tukifika sehemu inaruhusu kutembea unatembea kweli kweli mpaka STL inakupisha. Safari zangu zote za mwaka huu sina cheti hata kimoja na kuna sehemu za 50kph nyingi nimeosha sana uzoefu unasaidia.
Una zali sana mzee, sema iko siku utalamba cheti tu 😂
 
Kuna siku nilii Overtake pulling mida ya saa mbili hivi usiku, niko mafuta ,nazani ni maeneo ya chimala , aisee nilikutana na gema na gari ikayumba vibaya , kushoto kuna roli na kulia kuna bonde, yan ukichochora nikwenda kusalimia miti tu,yani kidogo tu nikwanguane na lori, nikasema kama sijachohora leo sitachochora tena,igawa to tunduma kama sio mwenyeji wa njia usipende papara
 
[emoji16][emoji16] mwaka huu mwanzoni mwezi WA 2 tarehe 5 tunapeleka msiba swanga Mimi huwa silalagi safari za mbali piga energy yangu Hadi nafika silali kufika maeneo ya kimani mabonde mabonde yakaanza dereva anatembea kibati nusu gari iame uku nyuma nyuma mafika kuna seem gari ilipiga shimo mbona watu waliamka gari nzima [emoji16]
 
Ni hatari sana
 
Umemaliza Kila kitu mkuu malori kama yakitengewa muda WA kutembe Kwanzia muda huo ulio Taja naamini hata ajali za usiku zitapungua so during day tutapambana na hawa jamaa WA mabus Tu au wenyewe Kwa wenyewe pia magufuri alishawai kusema pale kitonga ziwekwe zile kingo ngumu za kuhimiri uzito WA magari makubwa pindi yanapofeli brakes lakini sijui liliishia wapi ule mlima ni hatari Sana watu wanauchukulia kirahisi.
Haha basi mzee wangu anakuambia kitonga ilikuwa zamani siku hizi anaweza hata kuendesha pale huku anaongea na simu yani watu siku hizi wanapachukulia poa sana
 
Back
Top Bottom