Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Watu wa IT 🫡 wale jamaa kama una gari usio eleweka utasanda.Kikawaida bus huwa hazina mwendo wa kutisha isipokuwa wao wanauwezo wa kuovatake mahara popote ambapo wewe huwezi,wa bus yeye anapewa fair nyingi iwe na lori au gari yoyote. Mimi nilishawahi kutoka na bus zote mbeya mjini kuitafuta iringa via makambako ila hawakuweza hata kidogo zaidi ya kunipisha na kunipa mkono wa kuamsha, kikawaida speed yangu huwa ni 130 k/h ,huu ni mwendo wa kawaida kabisa kwangu tena ni comfortable, sasa huwa nashangaa mtu kusema wa bus anakimbia, ukitaka ligi fanya na watu wa IT, hapo ndo kunanoga