Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yes upo right kabisa na overtaking zao zinakupa ugonjwa wa moyo, kona za iyovi ni balaa zile buses zinapokuwa zina overtake malori
Sio mchezo hao jamaa wakati na Kuja Moro juzi hapa sikuwa mwendo wakanikutia chalinze nikasema Leo nawasubiri watoke mbezi nione uendeshaji wao maana nishazoea napanda ndani sioni overtaking zao na uendeshaji wao aisee ni wako RAF Sana ukiwafata unaumia hapa na hapa wanakuchomekea na hawajali kitu.
 
Hawa ni wanachukua nafasi ya pili badala ya madereva wa ST,SU etc etc ni vurugu mno, ila ukiona bus linakuovateki wewe slow down kwa hiyo unatengeneza space kwake kuingia in case kuna incoming vehicle, ukibana ile nafasi unaweza kusukumwa nje maana upo kwenye gari ndogo ni craze mkuu
 
[emoji16][emoji16] alafu wakisha kupush pemben wanatembea kibati dawa yao hawa ni malori Tu.
 
T1 nimeitumia jana kwa kweli kuna mabadiliko makubwa mazuri tu, kutoka tunduma hadi mbeya kile kipande kinahitaji matengenezo ikiwa ni pamoja na kuondoa tuta zote kwenye Ile highway, Inyala pass inahitaji science sio mihemko pale, Ile ajali ya yule DED mmm ilitisha maana ukiona vyuma vya magari vilivyojikunja pale ni hatari, definitely mbeya to igawa ndicho kipande kibaya mno ingawa naona wanatia viraka, Igawa to Kitonga pass ipo Safi (tuta tu ndio tatizo hasa down ya kuingialia mafinga),Kitonga Pass pale we need political will kwanza ,pili tujenge composory stop kwa vehicles zote above 5T pale pass inapoanza kushuka,hii itasaidia to slow down speed, then tujenge kama 2×Arrester ili zisaidie madereva wanapo poteza breaks waelekeze trunks zao huko(Zambia wanazo hasa unapokwenda kwenye border yake na Zimbabwe),Iyovi ipo Safi na welldone kwa kumalizia kile kipande korofi ila tuta zote zitolewe, welldone at last Mikumi National Park road inafanyiwa ukarabati, Moro to Dar hiki kipande cha 192km kipo korofi mno na traffic jam hasa malori na mabus, either tuzibiti malori yawe yanaingia Dar kwa muda maalum, hasa btn 2100 hrs to 0500hrs, yajengewe parking pale Moro kwa kusubiria muda ila yakiyobeba perishable goods, madawa yapate exempted, in general T1 its a good road now
 
Kipande cha Kwanza hapa chimala barabara ni mbovu kama huna controll ukipishana na roli kudadeki unahama Kwa uoga maana kuna mabonde mabonde unatakiwa ukaze mikono kwenye sterling laaa sivyo[emoji95] wafanye kama wanavyo fanya hapa mikumi wanang'oa ya zamani wanaweka mpya siumepita ukaona mkuu.
 
Yes mkuu wazo zuri kuliko kutia viraka, ni vema watoe lami yote kama wanavyofanya pale mikumi national park
 
Kipande cha Kwanza hapa chimala barabara ni mbovu kama huna controll ukipishana na roli kudadeki unahama Kwa uoga maana kuna mabonde mabonde unatakiwa ukaze mikono kwenye sterling laaa sivyo[emoji95] wafanye kama wanavyo fanya hapa mikumi wanang'oa ya zamani wanaweka mpya siumepita ukaona mkuu.
Ndio maana suspension, shocks, wheels balancing &alignment ni moja ya key factors kabla ya road trip
 
T1 nimeitumia jana kwa kweli kuna mabadiliko makubwa mazuri tu, kutoka tunduma hadi mbeya kile kipande kinahitaji matengenezo ikiwa ni pamoja na kuondoa tuta zote kwenye Ile highway, Inyala pass inahitaji science sio mihemko pale, Ile ajali ya yule DED mmm ilitisha maana ukiona vyuma vya magari vilivyojikunja pale ni hatari, definitely mbeya to igawa ndicho kipande kibaya mno ingawa naona wanatia viraka, Igawa to Kitonga pass ipo Safi (tuta tu ndio tatizo hasa down ya kuingialia mafinga),Kitonga Pass pale we need political will kwanza ,pili tujenge composory stop kwa vehicles zote above 5T pale pass inapoanza kushuka,hii itasaidia to slow down speed, then tujenge kama 2×Arrester ili zisaidie madereva wanapo poteza breaks waelekeze trunks zao huko(Zambia wanazo hasa unapokwenda kwenye border yake na Zimbabwe),Iyovi ipo Safi na welldone kwa kumalizia kile kipande korofi ila tuta zote zitolewe, welldone at last Mikumi National Park road inafanyiwa ukarabati, Moro to Dar hiki kipande cha 192km kipo korofi mno na traffic jam hasa malori na mabus, either tuzibiti malori yawe yanaingia Dar kwa muda maalum, hasa btn 2100 hrs to 0500hrs, yajengewe parking pale Moro kwa kusubiria muda ila yakiyobeba perishable goods, madawa yapate exempted, in general T1 its a good road now
Umemaliza Kila kitu mkuu malori kama yakitengewa muda WA kutembe Kwanzia muda huo ulio Taja naamini hata ajali za usiku zitapungua so during day tutapambana na hawa jamaa WA mabus Tu au wenyewe Kwa wenyewe pia magufuri alishawai kusema pale kitonga ziwekwe zile kingo ngumu za kuhimiri uzito WA magari makubwa pindi yanapofeli brakes lakini sijui liliishia wapi ule mlima ni hatari Sana watu wanauchukulia kirahisi.
 
Wenye malori ndo hao watunga sheria na wenye CCM.

Hakuna sheria kama hiyo itapita.

Hata SGR haitabeba mizigo kama tunavyodhania. Malori bado yapo.
 
Kikawaida bus huwa hazina mwendo wa kutisha isipokuwa wao wanauwezo wa kuovatake mahara popote ambapo wewe huwezi,wa bus yeye anapewa fair nyingi iwe na lori au gari yoyote. Mimi nilishawahi kutoka na bus zote mbeya mjini kuitafuta iringa via makambako ila hawakuweza hata kidogo zaidi ya kunipisha na kunipa mkono wa kuamsha, kikawaida speed yangu huwa ni 130 k/h ,huu ni mwendo wa kawaida kabisa kwangu tena ni comfortable, sasa huwa nashangaa mtu kusema wa bus anakimbia, ukitaka ligi fanya na watu wa IT, hapo ndo kunanoga
 
Kipande cha Kwanza hapa chimala barabara ni mbovu kama huna controll ukipishana na roli kudadeki unahama Kwa uoga maana kuna mabonde mabonde unatakiwa ukaze mikono kwenye sterling laaa sivyo[emoji95] wafanye kama wanavyo fanya hapa mikumi wanang'oa ya zamani wanaweka mpya siumepita ukaona mkuu.
Hayo ni magema mzee, usipokuwa makini yanakutoa barabarani, na usijaribu kuovataki sehemu kama hiyo
 
Back
Top Bottom