luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
RRONDO mbona una shqngaa kiongozi nimeuliza tuHuyu mchina alizikiwa Dodoma au alipelekwa China kwao
Mda gan mkuuWazee wa Road trip kesho ni kufukuza T1,from Tunduma to Dar ,tujumuike kwa watakaokua njiani, pace setter ni Sauli
5am ,moto unaanza mkuuMda gan mkuu
Asante washa Moto mkuu utatupatia ripoti kama sauli amekukuta njiani hahaha kidding5am ,moto unaanza mkuu
Hii ligi na Sauli (mimi ni sauli team),imebidi nisiifanye maana uendeshaji wa Mchana kwangu ni hapana mkuuAsante washa Moto mkuu utatupatia ripoti kama sauli amekukuta njiani hahaha kidding
J70 hii mkuu? hao jamaa huwa wanaona barabara ni yao kabisa wakati ni ya wote ila mizinga wanayopigaga huwa hachomokagi mtuT1 day time driving kwangu mimi it's a NO, mrejesho wangu kuna challenges nyingi mno za kuendesha mchana, so far 30k minus on my pocket, ila madereva wa ST,SU,vyombo vya ulinzi, hawa ndio wenye hizi barabara, wana total control za barabara, wana overtake anywhere wanapotaka,iwe double au single barriers, speed Sina tatizo nalo as far it's safe, ninaelekea makanyagio nikaweke pit stop ,it's not broken ngoja nitulie na night driving, nilitaka kufanya majarobioView attachment 2363278
It's craze mkuu yaani wapo definitely juu ya sheria na traffic officer's hawana uwezoJ70 hii mkuu? hao jamaa huwa wanaona barabara ni yao kabisa wakati ni ya wote ila mizinga wanayopigaga huwa hachomokagi mtu
Dawa yao unawapisha Tu.It's craze mkuu yaani wapo definitely juu ya sheria na traffic officer's hawana uwezo
Hadi yale mambo yetu bei chee?!!RRONDO kituoni kila kitu bei chee hasa leo ( weekend ya jumanne) View attachment 2363642
Where you at mkuu.RRONDO kituoni kila kitu bei chee hasa leo ( weekend ya jumanne) View attachment 2363642
🤠🤠🤠 Kila kitu bei chee, ukizingatia leo demand ni ndogo j. 4.. Ukija ijumaa kazi unayoo.. Demand inakuwa high sanaHadi yale mambo yetu bei chee?!!
Pole sana mkuu, wenzio mchana huwa tunafuata sheria zote. tukifika sehemu inaruhusu kutembea unatembea kweli kweli mpaka STL inakupisha. Safari zangu zote za mwaka huu sina cheti hata kimoja na kuna sehemu za 50kph nyingi nimeosha sana uzoefu unasaidia.T1 day time driving kwangu mimi it's a NO, mrejesho wangu kuna challenges nyingi mno za kuendesha mchana, so far 30k minus on my pocket, ila madereva wa ST,SU,vyombo vya ulinzi, hawa ndio wenye hizi barabara, wana total control za barabara, wana overtake anywhere wanapotaka,iwe double au single barriers, speed Sina tatizo nalo as far it's safe, ninaelekea makanyagio nikaweke pit stop ,it's not broken ngoja nitulie na night driving, nilitaka kufanya majarobioView attachment 2363278
Karibu sana, utatukuta.Ngoja nijipange mwezi ujao nije kupumzika hako kamkoa.
Morogoro mkuuWhere you at mkuu.