Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huku milima ya lukumbulu huwa tunaomba kulia na kusepa, labda zinakuwa hazina hela muda huo ndo maana wanaturuhusu mkuu....
 
Mwaka 2014 nilikuwa natoka Iringa naenda Mbeya, nikapanda IT gari aina ya Noah dereva alikuwa amechoka kuendesha, akaniomba niendeshe gari nikamwambia sijui kuendesha, ikabidi tuendelee na safari na kweli nilikuwa sifahamu kuendesha gari. Nikajilaumu kwa nini sijui kuendesha, kuna wakati alikuwa anasimamisha gari na kutoka nje ya gari ili kupunguza uchovu.
 
Kwahiyo ulikuwa hujui kufanya nini?
Kuweka gear tu kwenye D au kunyoosha tu kama wanavyonyoosha baiskeli??
 
Mkuu hizi signs za police state,hakuna sheria ya kukataza hayo,kuna mtu alitugeuza mazuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…