Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tunawahi kufika.Kumbe na we mnazi kabisa.
Kuna watu sio waelewa kabisa na wanakera pale mbezi zipo gari nyiingi TU za mbeya Kuna rungwe na ma new force yanayonyata acha wenye roho zao wpande ndege za chini sauli.Tunawahi kufika.
Kuna abiria walianza kulalamika eti ooh gari linakimbia.
Dereva akasema linakimbia au linatembea?
Gari linakwenda mwendo wa serikali..Ukisema linakimbia unakosea..Tuonyeshe linakimbia wapi.
Mimi nikawa najiwazia tu kuwa walikuja kutafuta nini?
Ulishaambiwa gari inafika saa12 Mbeya kutoka Dar na unaenda kupanda!
Sasa walidhani njiani linaenda mwendo wa konokono?
Yes Sauli team, kwangu speed ,safety, uhakika ndio keyTunawahi kufika.
Kuna abiria walianza kulalamika eti ooh gari linakimbia.
Dereva akasema linakimbia au linatembea?
Gari linakwenda mwendo wa serikali..Ukisema linakimbia unakosea..Tuonyeshe linakimbia wapi.
Mimi nikawa najiwazia tu kuwa walikuja kutafuta nini?
Ulishaambiwa gari inafika saa12 Mbeya kutoka Dar na unaenda kupanda!
Sasa walidhani njiani linaenda mwendo wa konokono?
Kabisa wanaweza kupanda mabus hayo yanayonyata, sauli team piga kelele humu leo !!!Kuna watu sio waelewa kabisa na wanakera pale mbezi zipo gari nyiingi TU za mbeya Kuna rungwe na ma new force yanayonyata acha wenye roho zao wpande ndege za chini sauli.
Kuna watu sio waelewa kabisa na wanakera pale mbezi zipo gari nyiingi TU za mbeya Kuna rungwe na ma new force yanayonyata acha wenye roho zao wpande ndege za chini sauli.
Yes Sauli team, kwangu speed ,safety, uhakika ndio key
Ipo Green LineKabisa wanaweza kupanda mabus hayo yanayonyata, sauli team piga kelele humu leo !!!
Ajitokeze mmoja aokoe jahazi.Nipo hapa ili mnipe abc
Litakuwa jambo jema sana kama akipatikanaAjitokeze mmoja aokoe jahazi.
Haiwezekani unakaribia uzee na hujui kudrive.
Miaka ya nyuma gari iliwahi kufika saa 7 mchana.Tunawahi kufika.
Kuna abiria walianza kulalamika eti ooh gari linakimbia.
Dereva akasema linakimbia au linatembea?
Gari linakwenda mwendo wa serikali..Ukisema linakimbia unakosea..Tuonyeshe linakimbia wapi.
Mimi nikawa najiwazia tu kuwa walikuja kutafuta nini?
Ulishaambiwa gari inafika saa12 Mbeya kutoka Dar na unaenda kupanda!
Sasa walidhani njiani linaenda mwendo wa konokono?
Niliona thread ya hilo gari 😂Miaka ya nyuma gari iliwahi kufika saa 7 mchana.
Sipati picha ilikuwa inatembeaje.
Huu ni mwendo wa kawaida kabisa, Dar to mbeya ni +700km,bus zinatakiwa zitambae kwa 8 to 10 hrs, T1 yetu tuiboreshe zaidi hasa kufutilia mbali zile tuta, zinaiua magari na kuongeza gharama za petrol/diesel, NO matuta in freeways!Miaka ya nyuma gari iliwahi kufika saa 7 mchana.
Sipati picha ilikuwa inatembeaje.
Niliona thread ya hilo gari 😂
Walipaa sana humo njiani
Siku hizi kuna jam kule Iyovi.Mwendo wa kawaida na Sauli anasafiri kwa mwendo wa kawaida, na tuelewe sio kwamba yeye ndio wa kwanza au mwisho, kuna watemi wengi tu wa route hii ambao waliishika hii route kama akina Nganga, Scandinavia express (hii bus saa 1700 ipo Tunduma border, around 2000hrs inaondoka Nakonde by 0500am ,good morning Lusaka ,hakuna bus yeyote ya zambia ilikua inakamata hii bus, no accident )
Siku hizi kuna jam kule Iyovi.
Karibia saa zima na dakika zinapotea pale..
Hii inapoteza pia muda.
Scandnavia enzi hizo iyovi..jam imesababishwa na nini?,ila inyala pass ina de tour sasa, uchelewesho upo,yes Scandinavian Express ilikua mtemi hasa
Wazee wa Road Trip kama kuna yeyote anaetokea Ludewa Kuja Mwanza anijulishe , nina ka mzigo Kadogo Dogo hivi, ya Maji itakuwepo
Barabara ikiwa straight kama ya Dar Arusha ni rahisi kufika kwa huo muda.Huu ni mwendo wa kawaida kabisa, Dar to mbeya ni +700km,bus zinatakiwa zitambae kwa 8 to 10 hrs, T1 yetu tuiboreshe zaidi hasa kufutilia mbali zile tuta, zinaiua magari na kuongeza gharama za petrol/diesel, NO matuta in freeways!