Pole sana.Tumpe pole mwenzetu makaveli10
Nimepata ajali, namshukuru Mungu nipo salama
Habari ndugu zangu Jana usiku nikiwa natokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam, nilipata ajali maeneo ya Maseyu katikati ya Mikese na Bwawani. Namshukuru mungu sote tumetoka salama, vidonda vidogo vidogo tu. Wazee tutende mema, tuishi kwa wema, tupendane, kifo ni muda wowotewww.jamiiforums.com
Pole kwake, Mungu awajalie Afya njemaTumpe pole mwenzetu makaveli10
Nimepata ajali, namshukuru Mungu nipo salama
Habari ndugu zangu Jana usiku nikiwa natokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam, nilipata ajali maeneo ya Maseyu katikati ya Mikese na Bwawani. Namshukuru mungu sote tumetoka salama, vidonda vidogo vidogo tu. Wazee tutende mema, tuishi kwa wema, tupendane, kifo ni muda wowotewww.jamiiforums.com
Na mimi jana hiyo hiyo nilitoka Dar kwenda Dodoma, huenda tulipishana naye njiani maana sikuona ajali.Tumpe pole mwenzetu makaveli10
Nimepata ajali, namshukuru Mungu nipo salama
Habari ndugu zangu Jana usiku nikiwa natokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam, nilipata ajali maeneo ya Maseyu katikati ya Mikese na Bwawani. Namshukuru mungu sote tumetoka salama, vidonda vidogo vidogo tu. Wazee tutende mema, tuishi kwa wema, tupendane, kifo ni muda wowotewww.jamiiforums.com
Pole sana Kaka makaveli10Tumpe pole mwenzetu makaveli10
Nimepata ajali, namshukuru Mungu nipo salama
Habari ndugu zangu Jana usiku nikiwa natokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam, nilipata ajali maeneo ya Maseyu katikati ya Mikese na Bwawani. Namshukuru mungu sote tumetoka salama, vidonda vidogo vidogo tu. Wazee tutende mema, tuishi kwa wema, tupendane, kifo ni muda wowotewww.jamiiforums.com
Duh utawala wa manyani!Wale wazee wa mida ya wanga, mkoa wa pwani maafande kwenye vituo vyao ni kama mchana - sio checkpoint tu kama tulivyozoea.
Wapo, ni wengi, na hawana utani na mistari ya overtake. Ukivuka Moro ndio angalau utawala wa manyani unaanza.
Siku moja njia ya bagamoyo walinukazia sa6 usiku nikawa mkali wakaniachia.Wale wazee wa mida ya wanga, mkoa wa pwani maafande kwenye vituo vyao ni kama mchana - sio checkpoint tu kama tulivyozoea.
Wapo, ni wengi, na hawana utani na mistari ya overtake. Ukivuka Moro ndio angalau utawala wa manyani unaanza.
[emoji1787][emoji1787] Yes paka weupe wakienda kulala mapanya wanatawalaDuh utawala wa manyani!
Mimi jana mlandizi nilijikuta sina hela ndogo wakaniomba ushirikiano nikawapa mteni.Siku moja njia ya bagamoyo walinukazia sa6 usiku nikawa mkali wakaniachia.
Sema mwamba hakua speed kivile kama ingekua mwendo engetolewa kwenye difu za hio semiTumpe pole mwenzetu makaveli10
Nimepata ajali, namshukuru Mungu nipo salama
Habari ndugu zangu Jana usiku nikiwa natokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam, nilipata ajali maeneo ya Maseyu katikati ya Mikese na Bwawani. Namshukuru mungu sote tumetoka salama, vidonda vidogo vidogo tu. Wazee tutende mema, tuishi kwa wema, tupendane, kifo ni muda wowotewww.jamiiforums.com
Nipo mkuu trip ni throughout the year.ISO M.CodD una Maisha marefu leo nilitaka niku mention
Hapo ruvu darajani walinikamata saa 10 usiku naovertake kwenye daraja.Mimi jana mlandizi nilijikuta sina hela ndogo wakaniomba ushirikiano nikawapa mteni.
Nlichoshukuru nilivyowaona nilianza discipline wakanisimamisha tena Ruvu Darajani. wamepaki karandinga kabisa, bahati nzuri sikuwa na kosa, sikuovatieki (ule mstari mnaujua nadhani).
Wakakagua madeni wakaniacha nitembee.
Mistari yenyewe mbona imejifuta?,traffic officer's ni wajibu wao kuelimisha watumiaji wa barabara na SIO kuwavizia wafanye makosa, ningekua na uwezo ningepeleka 100 traffic officer's pale Namibia 🇳🇦 au Botswana 🇧🇼 Wayne wenzao wananvyoteleleza wajibu waoWale wazee wa mida ya wanga, mkoa wa pwani maafande kwenye vituo vyao ni kama mchana - sio checkpoint tu kama tulivyozoea.
Wapo, ni wengi, na hawana utani na mistari ya overtake. Ukivuka Moro ndio angalau utawala wa manyani unaanza.
Pole mno,Nami nitatoa mrejesho wa road trip yangu InshaAllahHapo ruvu darajani walinikamata saa 10 usiku naovertake kwenye daraja.
Nilijilaumu sana kwanini nilisimama. Ningejua ningekimbia. Walinilamba 30k bila huruma.
Pictures plsNipo mkuu trip ni throughout the year.
Sahizi ndio natoka Dodoma kuitafuta Tarime Inshallah hizo 900km zitaisha salama
Jamaa punguza dharau. Inawezekana kwako mil 200 ni pesa ndogo sana ila jamii Forum ina waty wa vipato video pia na kuna mtu ata gar ya mili 7 inamshinda kununua mtaani. Pesa kubwa au ndogo inategemea na kipato cha mtu.Kama million 200 unaona nyingi, na hizo gari za million 200 zimezagaa barabarani basi utakuwa na ufinyu wa fikra juu ya hela.