Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tumpe pole mwenzetu makaveli10
 
Tumpe pole mwenzetu makaveli10
Pole kwake, Mungu awajalie Afya njema
 
Tumpe pole mwenzetu makaveli10
Na mimi jana hiyo hiyo nilitoka Dar kwenda Dodoma, huenda tulipishana naye njiani maana sikuona ajali.

Pole sana mkuu makaveli10

Kwa uelewa wangu mwendo haukuwa mkubwa la sivyo ungejificha mvua chini ya kichanja, Mungu ni mwema.
 
Wale wazee wa mida ya wanga, mkoa wa pwani maafande kwenye vituo vyao ni kama mchana - sio checkpoint tu kama tulivyozoea.

Wapo, ni wengi, na hawana utani na mistari ya overtake. Ukivuka Moro ndio angalau utawala wa manyani unaanza.
Siku moja njia ya bagamoyo walinukazia sa6 usiku nikawa mkali wakaniachia.
 
Siku moja njia ya bagamoyo walinukazia sa6 usiku nikawa mkali wakaniachia.
Mimi jana mlandizi nilijikuta sina hela ndogo wakaniomba ushirikiano nikawapa mteni.

Nlichoshukuru nilivyowaona nilianza discipline wakanisimamisha tena Ruvu Darajani. wamepaki karandinga kabisa, bahati nzuri sikuwa na kosa, sikuovatieki (ule mstari mnaujua nadhani).

Wakakagua madeni wakaniacha nitembee.
 
Tumpe pole mwenzetu makaveli10
Sema mwamba hakua speed kivile kama ingekua mwendo engetolewa kwenye difu za hio semi
 
Mimi jana mlandizi nilijikuta sina hela ndogo wakaniomba ushirikiano nikawapa mteni.

Nlichoshukuru nilivyowaona nilianza discipline wakanisimamisha tena Ruvu Darajani. wamepaki karandinga kabisa, bahati nzuri sikuwa na kosa, sikuovatieki (ule mstari mnaujua nadhani).

Wakakagua madeni wakaniacha nitembee.
Hapo ruvu darajani walinikamata saa 10 usiku naovertake kwenye daraja.

Nilijilaumu sana kwanini nilisimama. Ningejua ningekimbia. Walinilamba 30k bila huruma.
 
Wale wazee wa mida ya wanga, mkoa wa pwani maafande kwenye vituo vyao ni kama mchana - sio checkpoint tu kama tulivyozoea.

Wapo, ni wengi, na hawana utani na mistari ya overtake. Ukivuka Moro ndio angalau utawala wa manyani unaanza.
Mistari yenyewe mbona imejifuta?,traffic officer's ni wajibu wao kuelimisha watumiaji wa barabara na SIO kuwavizia wafanye makosa, ningekua na uwezo ningepeleka 100 traffic officer's pale Namibia 🇳🇦 au Botswana 🇧🇼 Wayne wenzao wananvyoteleleza wajibu wao
 
Kama million 200 unaona nyingi, na hizo gari za million 200 zimezagaa barabarani basi utakuwa na ufinyu wa fikra juu ya hela.
Jamaa punguza dharau. Inawezekana kwako mil 200 ni pesa ndogo sana ila jamii Forum ina waty wa vipato video pia na kuna mtu ata gar ya mili 7 inamshinda kununua mtaani. Pesa kubwa au ndogo inategemea na kipato cha mtu.
 
Back
Top Bottom